Wataalamu wanaendelea na juhudi za kuchunguza iliko ndege ya Malaysia
China imeanza kuchunguza picha
mpya za setilite zinazoonyesha kitu kama mabaki ya ndege kwenye eneo la
kusini mwa bahari ya Hindi.
Picha hizo ni...
Saturday, March 22, 2014


Sir
Alex Ferguson (katikati) akiwa amesimama na viongozi wa chuo cha Ulster
Ireland baada ya kupewa degree ya heshima kutokana na mchango mkubwa
aliyoutoa kwenye soka hususani Man utd. Katika maneno yake mbele ya
wanachuo 500 Sir Alex alisema ' Najivunia kupokea degree hii ya heshima
kutoka kwenye chuo kikubwa kama hiki. Ninayo furaha sana kuona hata chuo
kimeona mchango wangu...


Matokeo
ya vipimo vya majeraha aliyoyapata Van Persie kwenye mechi dhidi ya
Olympiacos yameonesha mchezaji huyu atakuwa kwenye matibabu kwa wiki
sita. Majibu ya vipimo hivi yamekuwa tofauti ya fikra za wengi akiwemo
kocha Moyes waliofikiri RVP amepata majeraha madogo. Kutokana na
majeraha haya RVP ataweza kukosa mechi zifuatazo;
Mar 23: West Ham (A)
Mar 25: Man City (H)
Mar...


Ronaldo, Pepe na wapenzi wao wakiangalia mechi ya basketball kati ya Real Madrid na CSKA Moscow
Alex Oxlade-Chamberlain, Keiran Gibbs na Aaron Ramsey wakicheza pool.
Rio
Ferdinand akiwa mwenye furaha huku akiimba ndani ya gari yake siku ya
alhamisi asubuhi siku moja baada ya United kuipiga Olympiacos.
Kiungo wa Arsenal,...
Thursday, March 20, 2014


Hawa
jamaa wanapokuja na njiwa au kuku uwanjani wanamaanisha nini?, au ndio
mikwara kwa wapinzani?. Lakini njiwa hawa huwa hawaonekani pale timu
inapofungwa. Unaanzaje
kumwambia shabiki kama huyu, mwenye mapenzi makubwa na klabu yake
ahamie timu nyingine. Lakini wapo watu wanaendesha klabu watakavyo,
wanasahau kuwa kuna uwepo wa watu wenye hisia kali kama...


KINYANG`ANYIRO
cha ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014, bado
kinabaki kuwa kitendawili kwa timu zilizopo juu katika msimamo.
Sare
ya bao 1-1 jana uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam baina ya vinara
Azam fc dhidi ya Yanga imezidi kuweka mazingira magumu kwa mabingwa
watetezi, Young African.
Katika
mchezo huo uliovuta hisia za mashabiki, Yanga walikuwa wa kwanza...


NAIROBI, KENYA – 20th March,
2014 – Bharti Airtel (“Airtel”), a leading telecommunications services
provider with operations in 20 countries across Asia and Africa and
Nokia have announced that the new Nokia X smartphone will be available
to purchase across 17countries in Africa from mid April 2014.
Designed
for consumers in high-growth markets, the affordable...


Dar es Salaam. Kampuni ya Microsoft,
inayojishughulisha na utengenezaji wa kompyuta pamoja na programu,
imebuni mbinu mpya ya kukabiliana na wizi wa mitandaoni ambao
umezisababishia hasara benki, kampuni na watu binafsi katika maeneo
mengi duniani
Mkakati huo umekuja wakati benki
nyingi nchini zikiathiriwa...
Wednesday, March 19, 2014



Man Utd:
De Gea, Da Silva, Jones, Ferdinand, Evra, Welbeck, Giggs, Carrick,
Valencia, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Hernandez, Young,
Fletcher, Kagawa, Fellaini, Januzaj.
Olympiacos:
Roberto, Leandro Salino, Manolas, Marcano, Holebas, Perez, Ndinga,
Dominguez, Maniatis, David Fuster, Campbell. Subs: Megyeri, Paulo
Machado, Samaris, Haedo Valdez, Papadopoulos, Vergos, Bong...


Wayne Rooney
Mshambulizi wa Manchester United
Wayne Rooney amesema kuwa kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa
Liverpool ni kama janga kwake na hiki ndio kipindi kigumu kwake kuwahi
kukishuhudia tangu kuanza kucheza soka ya kulipwa.
Steven Gerrard aliingiza mabao mawili kutokana
na mikwaju miwili ya Penalti na kukosa la tatu kabla ya Luis Suarez
kuongeza bao la tatu.
Mchezaji...


Didier Drogba husakata soka yake Galatasaray
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa gwiji wa soka Didier Drogba angali mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani.
Drogba anayesakata soka yake na klabu ya
Galatasaray na ambaye aliondoka Stamford Bridge Juni mwaka 2012, leo
anarejea...


Wafungaji bora wa Uefa champions tokea michuano hii ianzishwe
#PlayerTeam(s)M.GoalsPenaltyØ
1Raúl * FC Schalke 04 Real Madrid1427110.50
2Lionel Messi * FC Barcelona846780.80
3Cristiano Ronaldo * Real Madrid Manchester United996350.64
4Ruud van Nistelrooy Real Madrid Manchester United PSV Eindhoven7356100.77
5Thierry Henry * FC...
Subscribe to:
Posts (Atom)