
Leo, Jumatano, jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania limeipitia upya hukumu yao.
Katika rufaa hiyo leo wakili wa Babu Seya na Papii Kocha ameiomba
mahakama hiyo ifute ushahidi na waachiwe huru lakini serikali imepinga.
Kutokana na hatua hiyo, leo mahakama ya rufaa haijafanya uamuzi wowote
imewapiga kalenda na kesi inasubiri ...