HUU wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka
kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki
alipotoka.Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.Isikilize
hapa Chini.Ni balaa tupu.Ni bonge moja la Ngoma,AUDIO HII HAPA CHI...
Saturday, September 28, 2013
Friday, September 27, 2013



HIVI NDIO HALI YA JENGO LA WESTGATE BAADA LA SHAMBULIO LA AL-SHABAAB...!!
Picha za nje ya jengo la Westgate hazioneshi uhalisia wa hali iliyoko
ndani ya jengo baada ya shambulio la kigaidi Jumamosi iliyopita jijini
Nairobi, Kenya na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 70.
Picha hizi zinatoa picha halisi ya jinsi jengo hilo lilivyoharibika
vibaya kwa ndani baada ya ghorofa tatu...
Wednesday, September 25, 2013


UDAKU WA USAJILI
Winga wa nchi ya Wales Gareth Bale, 24,
alipanda ndege kurudi
toka Hispania na kuzungumza na
Manchester United kabla ya kukamilisha
uhamisho
wake wa kuvunja rekodi wenye thamani ya £86m kwenda Real
Madrid.
Manchester United, Chelsea, Arsenal na
Tottenham wanaweza
kuhusishwa na wasiwasi wa
hatma ya Andrea Pirlo akiwa Juventus
....


MCHUNGAJI
Ambilikile Mwaisapila wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) amesema Mungu ameendelea kujifunua kwake na kumuonyesha kuwa
Tanzania itakuwa kioo cha Afrika na baadaye kioo cha dunia.
Ametoa
kauli hiyo jana asubuhi (Jumanne, Septemba 24, 2013) mbele ya Waziri
Mkuu Mizengo Pinda wakati akizungumza na wakazi wa kijiji cha Samunge,...
Subscribe to:
Posts (Atom)