Thursday, July 17, 2014


Beki wa Atl Madrid, Filipe Luis amekamilisha usajili wa kwenda Chelsea kwa Euro 20m. Taarifa hizi kutoka Marca zinasema, makubalino kati ya timu hizi mbili yameshakamilika, kilichobakia ni beki huyu kufanya vipimo tu. 

 
Klabu ya Arsenal imekaribia kukamilisha usajili wa kiungo Sami Khedira kutoka Real Madrid. Taarifa za Espana zinasema Real Madrid na Arsenal wameshakubaliana, kilichobakia sasa ni makubaliano kati ya Khedira na Arsenal, kwani Khedira amehitaji mshahara wa Euro 7m kwa mwaka, mshahara ambao umekuwa ni mkubwa kulinganisha na uwezo wa Arsenal. Mazungumzo bado yanaendelea huku kukiwa na sababu zote za kufikia muafaka. 

Rio kutua QPR


Ba atua Beskitas akitokea Chelsea


Tello ajiunga na Porto kwa mkopo akitokea Barcelona


PSG watuma ofa ya Euro mil 60 kwa Real Madrid kumsajili Di Maria 


Man utd na Chelsea wanashindana kumpata kiungo wa Juve, Paul Pogba. Hadi sasa Chelsea ndiyo wametajwa zaidi kukamilisha usajili wa mchezaji huyu lakini makubalino bado hajafikiwa. 


Golikipa wa Costa Rica na Levante, Navas ametua rasmi Real Madrid.

 Wanted: Liverpool are after Swansea left-back Ben Davies
Swansea imeitolea nje klabu ya Liverpool kumsajili Ben Davies kwa paundi mil 8, hivyo Liverpool wanatakiwa kuongeza dau zaidi ili kumnasa beki huyu. 

No deal: Vidal starred for Chile at the World Cup where Louis van Gaal kept an eye on him
Dailymail linasema, Man utd hawana mpango wa kumsajili kiungo wa Juventus, Vidal baada ya kuonesha kiwango cha chini kwenye michuano ya kombe la dunia. Kwasasa Man utd macho yao yapo kwa Pogba baada ya Kroos kujiunga na Real Madrid. 

Struggle: The Liverpool forward had a difficult debut season at the club, scoring just once in 15 games
Iago Aspas wa Liverpool amejiunga na Sevilla kwa mkopo wa muda mrefu 

Manchester United to up offer for Vermaelen
Man utd wametuma ofa ya paundi mil 6 kumsajili beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen. Taarifa hizi kutoka Goal.com zinasema, klabu ya Arsenal haitakuwa tayari kumuuza mchezaji huyu kwa paundi mil 6 licha ya kuwa United wamesema watakuwa tayari kuongeza dau hadi paundi mil 10. 

Rumour: Mathieu signing imminent
Klabu ya Valencia imesema beki wake Jérémy Mathieu atauzwa kwenda Barcelona kwa Euro mil 20 na si chini ya hapo. Kauli hii imetolewa na Rais wa Valencia kupitia mtandao wa Marca.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog