Mchezaji wa Manchester City Samir Nasri akipongezwa na wenzake akiwemo Yaya Toure alipoifungia bao dakika za mwishoni dakika ya 86 leo hii huko Australia kwenye mechi ya Kirafiki kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016
Ushindi! Nasri akipongezwa
Nahodha wa City Vincent Kompany akipambana kwenye mpira wa Kona leo dhidi ya Melbourne City ya huko Australia.
Yaya Toure akipambana na Wachezaji wawili wa Timu ya Melbourne leo kwenye mtanange wa kirafiki.