Dakika ya 90 Juan Mata alifanikisha bao la tatu na kufanya mtanange
umalizike dakika 90 kwa bao 3-0 Man United wakiibuka kidedea.
Rooney akishangilia baada ya kuipatia bao la Pili Man United
Kipindi cha pili dakika ya 45 Wayne Rooney aliifungia bao la pili Man United na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Sunderland.
Memphis Depay aliipeleka Man United Mapumziko za dakika ya 45 kwa bao 1-0 Man United dhidi Sunderland.Kipute kikiendelea kipindi cha kwanza.
VIKOSI:Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schneiderlin, Mata, Rooney, Depay, Martial.
Akiba: Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Andreas Pereira.
Sunderland: Pantilimon, Jones, Kaboul, O'Shea, Van Aanholt,
M'Vila, Cattermole, Johnson, Toivonen, Lens, Borini.
Akiba: Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
Refa: Mike Jones