Saturday, September 26, 2015


Mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu anaipatia bao la pili  Yanga na kufanya 2-0 dhidi ya Timu ya Simba Sc.
Dakika ya 44 Amissi Tambwe aliipatia bao la kuongoza Yanga na kwenda mapumziko Yanga SC ikiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Simba SC.

Dakika ya 35 bado ni 0-0.

Kipute kimeanza sasa ....Simba 0 vs 0 Yanga.
LIGI KUU VODACOM
RATIBA
Jumamosi Septemba 26

Simba vs Yanga
Coastal Union vs Mwadui
Tanzania Prisons vs Mgambo Shooting
JKT Ruvu vs Stand United (Uwanja wa Karume, Dar es salaam)
Mtibwa Sugar vs Majimjaji
Kagera Sugar vs Toto Africans (Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora)

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog