PSG
yawaondoa Chelsea kwenye Uefa kwa dakika 120 usiku huu. Bao la Ugenini
likiwabeba baada ya Silva kusawazisha bao dakika ya 114.
Thiago
Silva akishangilia bao lake la kusawazisha 2-2 kwa kichwa baada ya kona
kupigwa dakika ya 114 kwenye mchezo uliopigwa dakika 120.
Wachezaji wa PSG wakishangilia kwa Mashabiki wao Stamford Bridge
Ushindi wa kwetu PSG!!
Raha ya Ushindi
Mkali wa kipindi cha Top Gear cha BBC Jeremy Clarkson akisepa baada ya kuona hakuna jipya tena!!
1-1
David Luiz baada ya kuisawazishia bao PSG
Thiago Silva baada ya kusawazisha bao.
2-2
Eden
Hazard akifunga bao la pili kwa mkwaju wa penati na kuipatia bao la
pili Chelsea na Tihiago Silva dakika ya 114 aliipachikia bao la
kusawazisha PSG baada ya kupigwa kona na kujitwisha kichwa mpaka langoni
mwa Blues na kufanya bao kuwa 2-2 Agg 3-3.Viongozi
wa Chelsea wakiongozwa na Jose kushangilia bao la penati la Eden Hazard
dakika ya 96 kwa mkwaju wa penati baada ya mpira kwenda dakika 120
baada ya kumaliza za kawaida 90 ngoma ikiwa sare ya 1-1 na Agg 2-2.David Luiz alipoisawazishia bao PSG kwa kichwa katika dakika ya 86.
David Luiz akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha Timu yake ya zamani
Kocha Jose Mourinho akiwa kati hali tofauti kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
Gary Cahill aliipachikia bao Chelsea
dakika ya 81 kwa shuti kali nae David Luiz Mchezaji wa zamani wa Chelsea
aliwazawazishia PSG kwa kwa kufanya 1-1 kwa kichwa baada ya kupigwa
kona katika dakika ya 86 kipindi cha pili.Cavan alipokosa nafasi ya wazi kufunga bao wakiwa 10 uwanjani
Mpaka
dakika 45 za kipindi cha kwanza zinakamilika hakuna Timu iliyokuwa
imeziona nyavu za mwenzake licha ya PSG kucheza pungufu 10 Uwanjani
baada ya mwenzao Zlatan Ibrahimovic kuoneshwa kadi nyekundu mchezaji wa
Chelsea.Zlatan Ibrahimovic akiomba samahani...
Wachezaji wa Chelsea wakiwa wamemwandama Mwamuzi
Zlatan Ibrahimovic akitoka Uwanjani baada ya kuoneshwa kadi nyekunduDavid Luiz akichuana na Diego Costa
Taswira Uwanja wa Stamford Bridge usiku huu
VIKOSI:
Chelsea XI: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry (c), Azpilicueta; Fabregas, Matic; Ramires, Oscar, Hazard; Diego Costa.
Subs: Cech, Zouma, Filipe Luis, Willian, Cuadrado, Remy, Drogba.
PSG XI: Sirigu; Marquinhos, David Luiz, Thiago Silva, Maxwell; Verratti, Motta, Matuidi; Cavani, Ibrahimovic, Pastore.