Wednesday, March 19, 2014



Man Utd: De Gea, Da Silva, Jones, Ferdinand, Evra, Welbeck, Giggs, Carrick, Valencia, Rooney, van Persie. Subs: Lindegaard, Hernandez, Young, Fletcher, Kagawa, Fellaini, Januzaj.

Olympiacos: Roberto, Leandro Salino, Manolas, Marcano, Holebas, Perez, Ndinga, Dominguez, Maniatis, David Fuster, Campbell. Subs: Megyeri, Paulo Machado, Samaris, Haedo Valdez, Papadopoulos, Vergos, Bong Songo.

Klabu ya Man utd imeingia robo fainali ya Uefa champions baada ya kuipiga Olympiacos magoli 3-0. Tofauti na wengi walivyokuwa wakifiria Man utd imeweza kuonesha mpira wa kiwango cha juu na sifa kubwa ziwaendee RVP aliyefunga magoli yote na kipa De Gea aliyeweza kuokoa mipira mingi ya hatari. Kasi na kucheza kwa juhudi kubwa ndiyo chachu ya ushindi wa United hali ambayo ilikuwa ni lazima Olympiacos walale. Ushindi wa leo unarudisha umoja na hari ya kujituma ndani ya uwanja baina ya wachezaji wa Man utd hali ambayo ilikuwa imekufa. Man utd inaongana na washindi wengine saba kuingia kwenye robo fainali ya michuano hii ambao ni PSG, Real Madrid, Chelsea, Bayern Munich, Barcelona, Dortmund na Atl. Madrid. Droo baina ya timu hizi itafanyika ijumaa ya wiki hii.

View image on Twitter
Babu alikuwepo kuwaangalia vijana wake 
Yaya Toure pia alikuwepo uwanjani 



Wayne Rooney
Mshambulizi wa Manchester United Wayne Rooney amesema kuwa kipigo cha mabao 3-0 walichokipata kutoka kwa Liverpool ni kama janga kwake na hiki ndio kipindi kigumu kwake kuwahi kukishuhudia tangu kuanza kucheza soka ya kulipwa.
Steven Gerrard aliingiza mabao mawili kutokana na mikwaju miwili ya Penalti na kukosa la tatu kabla ya Luis Suarez kuongeza bao la tatu.
Mchezaji Nemanja Vidic alifurushwa uwanjani kwa kufanya masihara.
Rooney mzaliwa wa Liverpool mwenye umri wa miaka 28, amesema kuwa hiki ni kipindi kigumu sana kwake na wembe ambao hautoshi hata kumezwa.
"hili ni jinamizi . Ni siku mbaya sana kwangu , sijawahi kuhisi vibaya hivi maishani mwangu nikicheza soka.
''Yaani hata ni vigumu kutafakari. Liverpool ilicheza vyema sana , lakini hii ni hali ngumu kwangu, '' alisema Rooney
''Hakuna anayetaka kushindwa hapa hasa katika uwanja wa nyumbani, sio vizuri.''
Rooney,aliyesaini mkataba mpya na klabu hiyo, mwezi jana , alipata tu fursa moja ya kujaribu kuingiza bao katika mechi hiyo ambayo Liverpool ilidhibiti tangu mwanzoni ingawa hakufanikiwa
Man U wanashikilia nafasi ya saba katika jedwali la pointi , ingawa Rooney anayepokea mshahara wa pauni laki tatu kwa wiki amesema kuwa hajafa moyo sana kutokana na matokeo mabaya ya Manchester United.
Kocha wa klabu hiyo David Moyes amesema kuwa aliachwa kinywa wazi asijue la kusema.



Didier Drogba husakata soka yake Galatasaray

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kuwa gwiji wa soka Didier Drogba angali mmoja wa washambuliaji bora zaidi duniani.
Drogba anayesakata soka yake na klabu ya Galatasaray na ambaye aliondoka Stamford Bridge Juni mwaka 2012, leo anarejea kwa mkondo wa pili wa vilabu vilivyosalia katika kombe la klabu Bingwa Ulaya kufuzu michunao hiyo.
Ikiwa Drogba ataingiza bao huenda asisherehekee uwanjani Stamford Bridge
Mourinho alisema Drogba angali na makali aliyokuwa nayo alipokuwa miaka 26 , na hakuna anayeweza kuwa katika hali hiyo akiwa na umri wa miaka 36. Lakini ni mshambulizi hodari sana.
Drogba amesema huenda hatasherehekea ikiwa ataingiza bao dhidi ya wachezaji wenzake wa zamani.
Mchezaji huyo kutoka Ivory Coast aliingiza mabao 157 katika mechi 342 wakati alipokuwa anachezea Chelsea kwa miaka minane.
Mourinho, aliyemsajili Drogba katika klabu ya Chelsea kutoka Marseille mnamo mwaka 2004, alishangiliwa sana aliporejea katika klabu hiyo mwezi Agosti mwaka jana
baada ya kuwa nje kwa karibu miaka sita.

Anatumai kuwa Drogba atang'aa katika mechi ya leo usiku.
Chelsea itakuwa klabu ya kwanza, kufika robo fainali ya michuano hiyo ikiwa watashinda leo usiku dhidi ya Galatasaray na duru zinasema kuwa Mourinho yuko ngangari


Wafungaji bora wa Uefa champions tokea michuano hii ianzishwe 

#PlayerTeam(s)M.GoalsPenaltyØ
1Raúl * FC Schalke 04
 Real Madrid
1427110.50
2Lionel Messi * FC Barcelona846780.80
3Cristiano Ronaldo * Real Madrid
 Manchester United
996350.64
4Ruud van Nistelrooy Real Madrid
 Manchester United
 PSV Eindhoven
7356100.77
5Thierry Henry * FC Barcelona
 Arsenal FC
 AS Monaco
1125030.45
6Alfredo Di Stéfano Real Madrid584930.84
7Andriy Shevchenko AC Milan
 Chelsea FC
 Dinamo Kiev
1004850.48
8Eusébio SL Benfica654630.71

Filippo Inzaghi Juventus
 AC Milan
814610.57
10Didier Drogba * Chelsea FC
 Olympique Marseille
 Galatasaray
874210.48

Affect: Lionel Messi has missed nine matches this season and has not been as prolific as usual
Leo Messi amebakiza magoli manne kumfikia Raul, kuna uwezekano akaweza kumfikia na hata kumpita msimu huu 
Top form: Cristiano Ronaldo has hit 25 goals in 24 league matches this season for Real Madrid
Ronaldo, amebakiza magoli manne kumfikia Messi na magoli nane kumfikia Raul, Ronaldo ana uwezo wa kumfikia Messi msimu huu ila sio rahisi kumfikia Raul ndani ya mechi tatu zilizobakia kama Madrid watafika fainali. 


Narrow miss: Moyes has to be alert to avoid being hit in the face with a ball during training
Wachezaji wa Man utd wakiwa mazoezini pamoja na kocha mkuu David Moyes. Mazoezi haya ni ya mwisho mwisho kabla ya kukutana na Olympiacos usiku wa leo. United itaingia uwanjani ikiwa nyuma kwa magoli 2-0 baada ya kukubali kipigo kwenye mechi ya awali nyumbani kwa Olympiacos. Ili kupita kwenda hatua inayofuata United wanatakiwa kushinda magoli 3-0 jambo ambalo linawezekana kwa timu kama Manchester United. Washabiki na wachambuzi wengi wanakubali kuwa United ya sasa sio kama ya zamani, lakini wanaamini kuwa wachezaji waliopo kama kocha atachagua kikosi kizuri basi Olympiacos lazima walie. Uzito wa mechi ya leo unaongezeka zaidi baada ya taarifa kuanza kuzagaa kuwa kibarua cha kocha David Moyes kitakua kwenye joto kali kama United watashindwa kusongambele kwenye michuano hii. Hali hii inakuja kutokana na ukweli kwamba Man utd wamepoteza nafasi ya kushinda vikombe vyote ndani ya England na Uefa champions ndiyo kombe pekee lililobakia kwa Moyes kuonesha muujiza. Usikose kuangalia mechi ya leo saa nne dk 45 usiku. 
Manchester United's manager David Moyes trains with his team Manchester United's English striker Wayne Rooney slides to tackle David Moyes
Tongue-tied: Moyes looked in a relaxed mood as he took the training session on TuesdayCountdown: United face a tough test against Olympiacos as they bid to overturn their first-leg defeatAll smiles: United have played down reports of a rift between Moyes and player-coach Ryan GiggsManchester United's Japanese midfielder Shinji Kagawa and striker Danny Welbeck David Moyes heads a ball during a training sessionSliding in: Despite being sent off after conceding a penalty against Liverpool, Nemanja Vidic didn't hold back
Adnan Januzaj will look to be United's creative force at Old Trafford Juan Mata is cup-tied for United's clash with OlympiacosMain man: United will look for Robin van Persie to rediscover his shooting boots to keep their Euro dream aliveUnder fire: Marouane Fellaini has struggled to cope with the step up in class since joining UnitedAll together now? United put on a show of solidarity ahead of their clash with Olympiacos

waliotembelea blog