Tuesday, May 5, 2015


Wachezaji wa Timu ya Watford wakiwa kwenye Basi la wazi kusherekea kupanda Ligi Kuu kwenye eneo la Cassiobury Park.Ni baada ya kumaliza wakiwa nafsi ya pili wakiwafukuzia wa kwanza na kumaliza wakiwa nyuma ya pointi moja tuu ya Mabingwa Bournemouth. Huku wakiwa walikosa Ligi Kuu kwa jumla ya Misimu 6 iliyopita na sasa wanapanda Ligi kuu England kwa msimu wa 2015/16. Watford wakiongozwa na Meneja wao Slavisa Jokanovic wamesherekea Ushindi wao leo jana jumatatu kwenye Eneo la Mji wao Cassiobury Park.Katikati ni Timu Kepteni wao Troy DeeneyTunapanda Ligi kuuTimu Kepteni na Ujumbe wao muruha!Timu ya Watford wakiwa na Meneja wao Bwana Slavisa Jokanovic jukwaani huko Cassiobury ParkMashabiki wa Timu ya Watford wakishangilia na kusherekea Kupanda kwa timu yao Ligi Kuu England msimu wa 2015/2016 baada ya kukosa kwa misimu sita.

waliotembelea blog