Sunday, June 7, 2015



LEO Republic of Ireland na England zilikutana na zilitoka Sare ya 0-0 katika Mechi ya Kirafiki iliyochezwa huko Dublin Nchini Ireland ikiwa ni mara ya kwanza kwa Nchi hizo kukutana huko kwa zaidi ya Miaka 20 baada ya Mechi yao ya mwisho Mwaka 1995 kuvunjika baada ya kutokea fujo za Mashabiki.
Hii Leo Mashabiki walipoa lakini Mechi yenyewe ilipooza kabisa pengine kila Timu ikijilinda kwa ajili ya Mechi zao za Makundi ya EURO 2016 baadae Wiki hii.
Kepteni wa England, Wayne Rooney, akiwania kuvunja Rekodi ya Sir Bobby Charlton ya Bao 49 ya Ufungaji Bora kwa Timu ya England, yeye akiwa na Bao 47, alikosa nafasi moja safi ya kufunga na kwa ujumla alipooza katika uchezaji wake.
Mashabiki wa England wakisubiri kipute hicho mapema leoRaheem sterling akipashaKikosi cha England hii leoTaswira kamiliKikosi cha England kikiwa tayari kupata picha ya pamoja na kuanza kipute cha kirafikiChris Smalling akichuana kuutafuta mpiraPhil JonesRaheem akipatiwa huduma baada ya kuumiaKipute kikiendelea




Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.


Baadhi ya Wateja waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone wakipewa maelezo kuhusiana na OFA kababe inayotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel na Huawei katika banda la Mlimani City jijini Dar Es Salaam .Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.

Mmoja wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airel na Huawei Smartphone akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City.

Mmoja wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.

Meneja masoko wa Huawei, Bi Lydia (kushoto) na Afisa Uhusiano wa Airtel Dangio Kaniki wakionyesha baadhi ya simu zinazouzwa katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone. Gulio hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City na kuwawezesha Wateja kupata ofa mbalimbali pale unaponunua simu hizo.


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia Mkutan wa hadhara leo kwenye Uwanja wa Mashujaa maarufu kwa jina la Uhmjini Bukoba, akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na ilani ya Uchaguzi ya CCM.Shangwe! Wananchi wakiunga mkono jambo katika Mkutano huo




Mbunge wa Bukoba Mjini Mh. Khamis Sued Kagasheki aliingia kwa Pongezi kutoka kwa Wananchi waliokuwa wamejitokeza kwa Wingi katika Mkutano huo leo hii Jumamosi tarehe 6/6/2015 jioni.

Swahiba akichekelea kwa Furaha baada ya kuungwa mkono na Wananchi

waliotembelea blog