Martin Odegaard
Miamba wa soka wa Hispania klabu ya Real Madrid imefika makubaliano ya kumsajili mshambuliaji kinda Martin Odegaard toka Stromsgodset. Odegaard mwenye umri wa miaka 16 atatambulishwa mbele ya waandisha wa habari leo, Real Madrid haijaeleza imetoa kiasi gani cha fedha ili kupata saini ya kinda huyo lakini tetesi zinaonesha wenda Real wakawa wametoa £2.3million.
japo vyombo vya habari vya Hispania vinasema wametumia kiasi cha euro milioni 3 kuweza kumpata mshambuliaji huyo. Kinda huyo alieanza kuichezea timu ya Norway, akiwa na miaka 15 amekuwa akiwaniwa na vilabu kadhaa vikubwa barani ulaya.
Odegaard akiwa pamoja na Sergio Ramos na Cristiano Ronaldo
Odegaard akijibu swaliOdegaard akiwasili kwenye chumba tayari kuonana na Waandishi wa Habari.