Thursday, December 4, 2014

Wababe msimu wa 2013DROO ya kupanga Makundi ya AFCON 2015, Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika imefanyika huko Malabo Nchini Equatorial Guinea.
Wenyeji Equatorial Guinea wako Kundi A pamoja na Congo-Brazzaville, Gabon na Burkina Faso na wao ndio watacheza Mechi ya ufunguzi hapo Januari 17 dhidi ya Congo-Brazzaville.
Mechi ya Fainali ya Mashindano haya itafanyika hapo Februari 8.
KUNDI A
Equatorial Guinea
Congo-Brazzaville
Gabon
Burkina Faso
KUNDI B
Zambia
DR Congo
Cape Verde
Tunisia

KUNDI C
Ghana
Senegal
South Africa
Algeria

KUNDI D
Ivory Coast
Guinea
Cameroon
Mali
Equatorial Guinea mwenyeji  mwezi Januari.

waliotembelea blog