Harry Kane nae ndani wakifanya mazoezi leo hiiHarry Kane akiendesha wakati wa mazoezi yao leo kujiandaa na Timu ya LithuaniaDanny WelbeckKocha Mkuu Roy Hodgson akimcheki Wayne RooneyRyan Mason akikabana na Ross B.Kupoza kiu: Harry Kane akipata maji wakati wa mapumzikoWayne Rooney na Dom Solanke walipata tuzoHarry Kane na Ross wakiufukuzia mpira wakati wa Mazoezi leoRoy Hodgson akiteta na baadhi ya Wasaidizi wake leo wakati wa mazoeziHarry
Kane ambaye aliitwa kwa mara kwanza katika Kikosi hicho Chini ya
Uongozi wa Roy alipata nafasi ya kujumuika na kuwasoma wenzake wakati wa
mazoezi leo hii wakati wanajiandaa na kipute cha kuwakabili Lithuania.Harry KaneKipa Joe hart Rooney akipata picha na Viongozi wake baada ya kupewa Tuzo yake.