Wednesday, February 12, 2014


Kikosi cha Azam FC kikiwa uwanja wa ndege wa kimataifa Dar es Salaam tayari kwa safari ya Mozambique, Azam FC wamesafiri kwenda Msumbiji kupambana na klabu ya Ferroviario katika michuano ya wawakilishi barani Afrika. Wakati Azam wakielekea Msumbuji, wapinzani wao Ferroviario bado wapo nchini tokea wacheze na Azam wikiendi iliyopita wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Azam complex kufanya mazoezi kabla ya kupaa usiku huu. 


Jumla ya wachezaji na viongozi 30 wa klabu ya Yanga watasafiri kwenda visiwa vya Komoro kucheza mchezo wa marudiano katika michuano ya klabu bingwa Afrika. Kikosi kamili cha wachezaji wa Yanga watakao ondoka ni kama ifuatavyo;  Magoikipa ni: Deogratias Munish "Dida" na Ally Mustafa "Barthez". Walinzi: Juma Abdul, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, David Luhende, Nadir Haroub "Cannavaro", Kelvin Yondani na Rajab Zahir. Viungo: Athuman Idd "Chuji", Frank Domayo "Chumvi", Haruna Niyonzima, Hassan Dilunga na Hamis Thabit. Washambuliaji: Hamis Kiiza, Didier Kavumbagu, Said Bahanuzi, Saimon Msuva na Mrisho Ngasa 

Kikosi hiki cha Yanga kinatarajia kupaa kesho (trh 13 Feb) saa sita mchana na kinatarajia kucheza mechi yake ya marudiano siku ya jumamosi dhidi ya Komorozine de Domoni kwenye uwanja wa Stade International Said Mohamed Cheik Mitsamiouli. 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati hafla ya maonesho maalumu ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, iliyoandaliwa na Taasisi ya Aga Khan, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es salaam jana usiku, Feb 11,2014. 



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu maonesho ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, kutoka kwa Ofisa Mipango wa Taasisi ya Aga Khan, Navroz Lakhani, wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo jana usiku

Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo.
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa na wenyeji wake ukumbini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu maonesho ya kumbukumbu ya Miale ya Nuru, kutoka kwa Ofisa Mipango wa Taasisi ya Aga Khan, Navroz Lakhani, wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo jana usiku
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akisikiliza maelezo wakati alipokuwa akitembelea maonesho hayo.
Katibu Mkuu wa Chadema, Willbload Slaa, akitembezwa kujionea maonesho hayo.
 
 Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba, akisikiliza kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais, Dkt. Bilal.
 Viongozi wa CHADEMA, wakisikiliza kwa makini hotuba ya Makamu wa Rais.
 Viongozi wa CHADEMA wakijadiliana jambo wakati wa Kongamano hilo.
 Spika wa Bunge Anne Makinda na baadhi ya viongozi waliohudhuria.
 Baadhi ya viongozi waliohudhuria Kongamano hilo......

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
 Picha ya pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiagana na wajumbe walioshiriki Kongamano hilo baada ya ufunguzi uliofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, baada ya kufunguliwa rasmi rasmi Kongamano la Tafakuri na Maridhiano kuelekea Katiba mpya, lililofanyika kwenye Hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam, leo Feb 12, 2014 na kushirikisha Vyama vya Siasa, Makundi ya dini na Asasi za kiraia.
 


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), linatarajiwa kuendesha zoezi la ukaguzi wa katiba za wanachama wake ili kuhakikisha hazipingani na za Shirikisho la Kimataifa (Fifa), CAF na TFF. Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura, kila mwanachama atawajibika kuwasilisha katiba yake na kisha kufanyiwa kazi na Kamati ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya shirikisho hilo ili kubaini kama zina upungufu wowote.
“Katika kuhakikisha suala hilo linatekelezwa, mambo ya msingi yaliyomo kwenye katiba na kanuni za TFF, katiba za mfano za wanachama wa TFF zitapaswa kuingizwa katika katiba hizo kama vile, sifa za wagombea uongozi, ambapo zitaendelea kusomeka kama zilivyo kwenye katiba za mfano, kanuni za uchaguzi za wanachama wa TFF bila kufanyiwa mabadiliko,” alisema.
Mbali na hilo, Wambura alisema pia wanachama watatakiwa kuunda kamati zao za uchaguzi kwa kuzingatia kanuni za uchaguzi za shirikisho, ambapo kanuni za TFF ndizo zitakuwa mwongozo na Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi wa Vyama Wanachama itakuwa ni Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ya TFF.
Kwa upande wa kamati za Maadili na Rufani za Maadili, alisema wanachama wa TFF wataunda kamati zao kwa kuzingatia kanuni za maadili za shirikisho, ambazo zitakuwa mwongozo, ambapo Kamati ya Rufaa ya Maadili ya Vyama Wanachama itakuwa ni Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF.
Kuhusiana na leseni za klabu (Club Licensing), alisema kila klabu mwanachama wa TFF atalazimika kuingiza kipengele hicho kwenye katiba yake kutokana na maagizo ya Fifa na CAF.
Wambura alisema suala la muda wa ukomo wa madaraka, mwanachama atalazimika kuuweka katika katiba na kanuni zao za uendeshaji, kwa malengo ya kuhakikisha chaguzi zinaitishwa na kufanyika kabla ya muda wa Kamati ya Utendaji iliyoko madarakani kumalizika kikatiba, bila ya kujali sababu zozote zinazoweza kutolewa na mwanachama.
“Katika hili, TFF na wanachama wake hawatafanya kazi na kuitambua kamati yoyote ya utendaji ya mwanachama wake ambayo muda wake wa kukaa madarakani kikatiba umekwisha,” alisema.
Aliongeza kuwa pia kamati za muda, TFF na wanachama wake hawatazitambua na kufanya nazo kazi kamati zozote za utendaji ambazo hazikuchaguliwa na mkutano mkuu halali wa mwanachama wake.
Wambura aliongeza kuwa vyama vya mikoa na wanachama wa TFF, vinaagizwa kuhakikisha maagizo hayo yanatekelezwa pia na wanachama wao ambao ni wilaya na klabu katika maeneo husika, na kwamba hakuna mwanachama atakayeruhusiwa kufanya uchaguzi kabla ya marekebisho ya katiba sambamba na uundwaji wa kanuni husika.
Alifafanua kuwa TFF itahakikisha hakuna mwanachama atakayetumia sababu hizo za marekebisho ya katiba kwa minajili ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani.
Marekebisho hayo yanatakiwa kufanyika kabla ya Machi 20 mwaka huu na katiba ziwasilishwe TFF kwa uhakiki kabla ya kupelekwa kwa msajili.
Wanachama ambao watakuwa na matatizo katika mchakato huo, wawasiliane na TFF ili kupata mwongozo katika kufanikisha zoezi hilo.


 Mcheza sinema mahiri ulimwenguni Harrison Ford mwenye umri wa miaka 71 amedhihirisha sio uigizaji tu ndiyo yupo fiti, bali hata kuendesha helkopta. Harrison Ford ambaye pamoja na kucheza sinema mbalimbali,lakini mojawapo iliyopata kumpa umaarufu zaidi inaitwa Airforce One.
 Harrsison Ford akiwa anaikagua helkopta yake kabla ya kuruka angani
Muigizaji mahiri Harrison Ford akiwa anakatiza mtaani huku kaongozana na mkewe Calista Flockhart na mtoto wao wa kiume Liam

Wakati yeye anakaa chini na kuangalia Arsenal kucheza Manchester United katika moja ya kubwa kuweka-kipande hafla ya Kiingereza soka ya, Roy Hodgson wanaweza kutambua kitu mwenyewe katika mtu katika mitumbwi mbali.
Mara moja, meneja England alisimama ambapo David Moyes sasa ni. Yeye alikuwa ametoka kwa Liverpool na CV enviable na sifa - mafanikio yake katika kuchukua Fulham na ya mwisho ya Ulaya alifanya naye meneja wa mwaka 2010. Muda wa miezi mitano katika kazi alikuwa taswira kama ipasavyo sugu, ambao walikuwa mbinu Imechezwa kama mali na ambao walishindwa kufahamu kwamba wake kila taarifa na wake kila marekebisho tactical itakuwa kuchambuliwa kwa uharibifu.
Kuna tofauti moja kati ya Hodgson ya Liverpool na Moyes ya Manchester United. Anfield waliona Hodgson mara chini yao na walikuwa si mwepesi wa kutangaza hisia zao. Baadhi ya hankered kwa Rafa Benitez, wengine yearned kwa ajili ya kurudi Kenny Dalglish.
jambo la kushangaza kuhusu kutengana ya Manchester United ni klabu ina uliofanyika pamoja, angalau katika umma. Wakati meneja mwingine England, Terry Venables, alipewa funguo Barcelona, ​​aliambiwa mashabiki ingekuwa ama kujenga sanamu yake au kuweka moto ya gari lake. Kuna sanamu nyingi mno katika Old Trafford tayari na gari Moyes 'na kazi yake ni bado chini ya tishio.
Stretford Mwisho na bendera yake kutangaza Moyes kama "Chosen One" ina uliofanyika kwa haraka kwa Sir Alex Ferguson ya umma ahadi - kiapo karibu - kwa kuunga mkono mrithi wake. Hata nahodha wao wa zamani, Roy Keane, mmoja wa watu wengi unforgiving milele alicheza katika Old Trafford, alisisitiza kwamba Moyes kuungwa mkono na wakati na fedha kununua wachezaji nusu kadhaa. Keane kuwekwa lawama kwa Umoja wa kushuka squarely juu ya serikali Ferguson. "Wao kukata pembe katika suala la uhamisho katika miaka michache iliyopita," alisema. "Wao si wamekwenda nje na got wachezaji kubwa na ina tutanyakuliwa pamoja nao mwaka huu."
Hata hivyo, alikuwa yeye amekuwa katika Madrid au Milan, ni vigumu kufikiria Moyes ingekuwa alinusurika kuwa saba katika katikati ya Februari. "Wafuasi wamekuwa ajabu," alisema. "Hii ndiyo sababu klabu haki kuchukua mameneja wa kulia na mameneja haki kuchukua klabu haki Hiyo ndiyo maana Mimi daima matumaini na ndoto Manchester United. Atakuja katika kwa ajili yangu.
"Nilipewa sita mkataba wa miaka kwa sababu ilikuwa ni mpango wa muda mrefu. Ni mara zote kwenda kuchukua muda. Kumekuwa na kujenga kinachoendelea mwaka baada ya mwaka hapa na tutaendelea kufanya hivyo."
Hodgson hakuwahi kushtakiwa wa kuzalisha Mkutano wa ngazi ya mpira wa miguu kama Moyes mara baada ya sare ya mabao 2-2 na upande Fulham kwamba, kulingana na meneja wake, Rene Meulensteen, imeanguka chini kama naweza.
Mlinzi Fulham, Dan kuchoma, ambaye alikuwa alicheza katika Mkutano na ambaye aliongoza mbali 22 ya Umoja wa 81 misalaba siku ya Jumapili jioni, kitu yeye alikuwa amefanya tangu Darlington, pengine hakuwa na maana zinaonyesha kwamba mabingwa wa England walikuwa sasa tano -tier utendaji.
Hata hivyo, siku mbili baada ya mechi ambayo Manchester Evening News alikuwa ilivyoelezwa katika ukurasa wake wa mbele kama "debacle", Moyes ilikuwa bado riled na mapendekezo kutoka kwa Meulensteen, mara moja Ferguson wa mkono wa kulia mtu, mbinu United alikuwa rahisi kukabiliana na.
"Wewe haja ya kuwa na soka akili, mpira wa miguu ubongo kuelewa kwamba, kwanza ya yote," alisema Moyes. "Unaweza kuwa na kuwa na uwezo wa kujua kwamba kama timu Cram katikati ya lami, nafasi itakuwa nje mbalimbali ambapo ungependa kwenda kujaribu kuchukua nje wachezaji wenzake.
"Kama tungekuwa na kucheza mchezo na hakuwa na misalaba, sisi ingekuwa kukosoa kwa si kuvuka mpira. Nilidhani timu moja tu alikuja kushinda. Nilidhani sisi kucheza kwenye njia moja mitaani."
Moyes 'msimu wa kwanza imekuwa kamili ya spluttering kuanza na injini kushindikana. Kushinda United bao 1-0 dhidi ya Arsenal katika Novemba wapinzani 5-0 matanga ya Bayer Leverkusen kama wao bora baada ya Ferguson utendaji. Ilikuwa si kujengwa juu ya lakini alionyesha kitu ambacho inaweza kufikiwa.
"Ilikuwa ni utendaji mzuri kabla ya mapumziko ya kimataifa na sisi akaenda katika kipindi mzuri," alisema. "Sisi pengine imekuwa kidogo miamba tangu wakati huo. Sisi kuingia katika nafasi ya nguvu lakini sisi kamwe ilichukua it up."


Serikali ya Afrika Kusini inachunguza uwezekano wa kuwasilisha ombi la kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Madola au Commonwealth mwaka wa 2022. Rais wa kamati ya olimpiki nchini Afrika, Kusini Gideon Sam, amesema ana nia ya kuomba mashindano hayo kuandaliwa barani Afrika kwa mara ya kwanza. ''Naamini huu ni wakati wa Afrika kuandaa mashindano hayo'' Alisema Bwana Sam. Msemaji wa baraza la michezo nchini Afrika Kusini, amethibitisha kuwa waziri wa michezo, Fikile Mbalula, tayari amepokea ombi hilo na kuwa analiunga mkono. Akiongea na BBC, Sam, amesema kuwa Afrika Kusini, ina uwezo wa kuanda mashindano hayo ya Madola kwa kuwa taifa lake lina miundo mbinu ya kutosha na pia ujuzi wa kuandaa mashindano mengine ya kimataifa.

Wizara ya michezo nchini Afrika Kusini, sasa inatarajiwa kushirikiana na kamati ya olimpiki nchini humo, kabla ya kuwasilisha ombi hilo rasmi kwa baraza la mawaziri, ambalo litakuwa na uamuzi wa mwisho, ikiwa taifa hilo linaweza kuwa mwenyeji wa mashindano hayo. Afisa huyo amesema mji utakaoandaa mashindano hayo utaamuliwa baada ya maafisa wa mabaraza ya miji ya Durban, Cape Town na Johannesburg kuwasilisha rasmi maombi yao. Bwan Sam vile vile ni naibu rais wa Kamati kuu ya mashindano ya Jumuiya ya Madola, Commonwealth Games Federation (CGF), kamati ambayo inajukumu la kuandaa mashindano hayo. Mwezi uliopita, CGF, ilielezea wasi wasi wake kuwa hakuna taifa ambalo lilikuwa limeonyesha nia yake ya kuandaa mashindano hayo mwaka wa 2022, huku muda wa mwisho kwa kutuma maombi ni mwezi ujao. Hata hivyo nchi zinazodhamiria kuwa mwenye wa mashindano hayo zimepewa hadi mwaka wa 2015 kutuma maombi yao.


Training day: Manchester City manager Manuel Pellegrini takes a training session that saw the much needed return of several leading players
Baada ya kufululiza kwa matokeo mabaya dhidi ya Chelsea na Norwich, kocha wa Man city, Manuel Pellegrini ameamua kuwaita mazoezini wachezaji wake wote walikuwa majeruhi na wazima ili kurudisha hali ya timu kabla ya mambo kuharibika. Man city inakabiliwa na majeruhi wengi wakiwemo wachezaji tegemezi kama  Fernandinho, Samir Nasri na Sergio Aguero. Licha ya kuwa majeruhi wachezaji hawa wameonekana kwenye mazoezi leo asubuhi na wanatarajiwa kuanza kucheza hivi karibuni ili kurudisha kiwango cha timu na kuendelea kucheza kiushindani. Mechi zijazo za Man city ni dhidi ya Sunderland, Chelsea (FA), Barcelona (UEFA) na Stoke City. 

Manchester City's Samir Nasri  Manchester City's Sergio Aguero
Let's get ready to rumble! City's leading scorer Sergio Aguero (R) pulls on his coat as he makes his way to the training pitch, closely followed by Micah Richards
Jog on! City players, including the returning Javi Garcia (fourth right) take part in a running exercise - with James Milner (left) the only one brave enough to wear shorts
Waiting game: Although Brazilian enforcer Fernandinho (centre) is still expected to be sidelined for a while, he was able to raise a smile with Yaya Toure (right)
Silk and steel! City will be praying the likes of Sergio Aguero (left) and Fernandinho are able to return for a crucial period of fixtures in February


Mechi ya ligi kuu ya Premier kati ya Fulham na Liverpool siku ya Jumatano, huenda ikahairishwa ikiwa mgomo wa wafanyakazi wa treni mjini London utaendelea kama ulivyopangwa. Wafanyakazi hao wa treni wanatarajiwa kuanza mgomo wa saa 48 kuanzia leo, hali ambayo inaweza kutatiza shughuli za usafiri kama ilivyokuwa wiki iliyopita mjini humo. Wasimamizi wa Fulham wana wasi wasi kuwa wafanyakazi wao huenda washindwe kufika kazini kwa muda unaofaa au hata kukoza kufika ili kuhakikisha kuwa mechi hiyo imeendelea. Klabu hiyo inatarajiwa kutangaza baadaye hii leo ikiwa mechi hiyo itahairishwa au la. Wamiliki wa klabu hiyo wamekuwa na mazungumzo na maafisa wa baraza la mji wa London pamoja na maafisa wa polisi na wamesema kuwa wana matumaini kuwa mechi hiyo itachezwa kama ilivyopangwa. Huku hayo yakijiri, leo hii kutakuwa na mechi kadhaa za ligi kuu ya premier. Cardif City itakuwa mwenyeji wa Aston Villa, Southampton kusafiri ugenini kucheza na Hull City. West Ham itakuwa nyumbani kutoana jasho na Norwich, ili hali West Brom kualika vinara wa ligi hiyo kwa sasa Chelsea katika uwanja wao wa nyumbani.


Balletic: Bacary Sagna shows off his dance moves as Arsenal trained at London Colney for the last time before their Premier League showdown with Manchester United on Wednesday night
Swing and a miss: Lukas Podolski puts his best foot forward, though Tomas Rosicky (left) and Santi Cazorla (centre) can't conceal their amusement
Heads you win: Mikel Arteta shows off his ball-juggling abilities as Arsenal prepare to respond to Saturday's 5-1 humiliation against Liverpool
Taking cover: Laurent Koscielny shelters from the rain during the training session
Sage: Manager Arsene Wenger passes on instructions to Jack Wilshere ahead of the crunch match at the Emirates
On the ball: Lukas Podolski is pursued by German compatriot Serge Gnabry during a training match
Strike a pose: Podolski and Alex Oxlade-Chamberlain show they mean business

waliotembelea blog