Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa
Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa, leo Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba
waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika
kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19,
2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi baadhi ya wagombea wa
Udiwani wa vyama vinavyouda UKAWA, kwenye Mkutano wa Kampeni,
kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini
Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mmoja wa wadau
wa Mabadiliko, Prof. Azaveli Rwaitama, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo
Septemba 19, 2015.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje
akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba,
Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mke wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred
Lwakatare, akimuombea Mumewe Kura kwa Wananchi wa Mji wa Bukoba, wakati
wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo
Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimpongeza Mke wa Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred Lwakatare,
mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa Bukoba.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CHADEMA, Willfred
Lwakatare, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana,
Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19,
2015.
Aliekuwa Meya Mji wa Bukoba, Anatory Amani akizungumza kwenye Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19,
2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na baadhi ya
vingozi, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Mashujaa wa Bunazi,
Jimbo la Nkenge, Misenyi Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Wananchi wa Jimbo la Nkenge, Misenyi Mkoani Kagera wakimshangilia
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, alipowasili kwenye eneo la
Mkutano.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia wananchi wa Jimbo
la Nkenye, Misenyi Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Bw. Simon
Andrew (55) ambaye ni Mlemavu wa miguu, mkazi wa Kijiji cha Kilimilile,
Kyaka Wilayani Misenyi, Mkoa wa Kagera leo Septemba 19, 2015.