Friday, October 25, 2013

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' (katikati) akilakiwa na mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra' alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea nchini China leo.
Mama Diamond akisalimiana na rafiki wa Diamond aliyetua naye leo.

Diamond akipozi na mama yake mzazi alipowasili uwanjani hapo majira ya saa nane mchana leo.
Bi. Sandra akimlaki Rommy Jones uwanjani hapo.
MSANII mahiri wa Muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo ametua nchini akiambatana na ndugu yake pamoja na rafiki yake wakitokea nchini China. Msanii huyo pamoja na alioambatana nao, wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa nane mchana ambapo wamelakiwa kwa shangwe na mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim 'Sandra'. Akiongea na Mtandao huu, Diamond ameeleza kuwa alienda nchini China kwa ajili ya mapumziko. Akiwa China, Diamond alikutana na mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu 'Madam' na kuonekana wapo 'close' jambo lililoashiria kuwa wawili hao wamerudiana.
Msanii Alaine Laughton (katikati) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa wasanii wa kimataifa watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 leo katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni msanii ktoka Nigeria David Adeleke (Davido) na Kulia ni Meneja masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Allan Chonjo.Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Vipindi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba Akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na wahandishi wa habari leo kwaajili ya kuwatambulisha wasanii watakaofanya makamuzi kwenye stage ya serengeti fiesta 2013 hapo Kesho Jumamosi katika Viwanja vya Leaders.Meneja Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti, Allan Chonjo akiwatambulisha baadhi ya wasanii watakaotoa burudani katika tamasha la Serengeti Fiesta 2013 kutoka nje ya Tanazania, kushoto ni Alaine Laughton kutoka Jamaica na Mohombi Nzasi Moupondo kutoka Sweden. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Serena iliyopo katika jiji la Dar ES Salaam.


Itakuwa ni Vita nyingine ..ni kati Lionel Messi na Cristiano Ronaldo
Ni Mechi pia itakayowakutanisha Mameneja wapya kwa Timu zote, Carlo Ancelotti toka Italy kwa Real Madrid na Gerardo Martino toka Argentina kwa Barcelona.




Man of many talents: Real Madrid's Gareth Bale connects sweetly with a rugby ball during a series of training ground challenges ahead of this weekend's Clasico with Barcelona
Hitting the target: Bale, who joined Real from Tottenham for a world record £86milliion in the summer, showed his skills extend beyond football to rugby union too
Back in the game: Bale takes on Malaga player Wellington Silva in a foot race during last weekend's La Liga match at the Bernabeu
Strike a pose: Bale's Real team-mates Jese Rodriguez (centre) and Luka Modric (right) watch on as he demonstrates some trademark tricks
Ahead: Barcelona are currently top of La Liga, with eight wins and one draw from their nine games
.

On their toes: Real are in third place, winning seven, drawing one and losing one of their nine
Real wako nafasi ya tatu , wakishinda michezo saba, sare moja na kupoteza mmoja kati ya tisa
Mr Barcelona: He's 35-years-old, but his experience of El Clasico's should shine through
Mr Barcelona:



Kwa heshima ya Mashabiki zangu Nchi na Taifa langu
 ilinibidi nirudi Maalumu kabisa kwajili ya Shoo hii ya
 Fiesta Jumamosi pale Leaders Club ili
 kuwakaribisha wageni zetu toka nje... lakini
 pia kuwadhihirishia Wageni Hao kuwa Tanzania si
 ya legelege imebarikiwa Wasanii
 na wenye uwezo...! Tukutane pale leaders on saturday Madau wangu... 

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ alitaka wazae kipindi walipokuwa wapenzi.
Jokate Mwegelo ‘Kidoti’.
Jokate alifunguka hayo juzikati alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mapaparazi wa Global Publishers, pamoja na kufunguka mengi, alibainisha kuwa Diamond huwa anapenda watoto kwenye uhusiano.
Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Mh! Diamond anapenda kuzaa, tena siyo kwangu tu wanawake wake wote huwa nasikia anataka kuzaa nao,” alisema Jokate.

waliotembelea blog