Saturday, January 4, 2014


Alvaro Negredo akishangilia bao lake katika dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza.
 
 
 
Mchezaji wa City Edin Dzeko akijaribu kuwatoka mabeki wa Blackburn.
Bao la City limefungwa dakika ya mwishoni kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wao Negredo baada ya kupigwa mpira wa kona na hatimaye Negredo kuupata ukiwa umepoa na kuunganisha hadi langoni. City wameeenda mapumziko kwa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Blackburn Rovers. Kipindi cha pili dakika ya 55 Kona iliyopigwa na mchezaji wa Blackburn kujitwisha kichwa na hatimae kipa wa City Pantilimon kuutema na kisha Danny kumalizia mpira huo na kufanya matange matokeo yawe sare ya 1-1.

Scott Dann akisawazisha na kufanya 1-1 Ushangilia wa aina yake kwa kubebwa baada ya kusawazisha!
Shuti la Ben Marhsall  likizuiliwa na Joleon Lescott wa CityMchezaji wa City City David Silva na Ben Marshall wa Blackburn wakigombea mpira hapa kipindi cha kwanza

 
Mchezaji wa Blackburn Jason Lowe na wa Manchester City Alvaro Negredo wakisubiri mpira hapa huku wote wakiukodolea macho!
VIKOSI:
Blackburn Rovers: Robinson, Henley, Dann, Hanley, Spurr, Williamson (King 64), Lowe, Taylor, Cairney, Marshall (Campbell 80), Gestede (Rhodes 80)
Substitutes: Eastwood, Kilgallon, Rochina, Judge
Scorer: Dann 54
Manchester City: Pantilimon; Boyata, Lescott, Nastasic, Clichy; Fernandinho (Yaya Toure 64), Garcia; Milner, Silva (Zabaleta 88); Negredo (Jesus Navas 75), Dzeko

Substitutes: Hart, Kompany, Kolarov, Lopes
Scorer: Negredo 44
Referee: Michael Oliver
Moto mkubwa umezuka katika hotel ya Janco forest mpya jijini Mbeya chanzo cha moto hakijajulikana mpaka tunaondoka katika tukio hilo























La Liga ya Spain na Serie A ya Italy, zinarudi tena dimbani Wikiendi hii baada kuwa Mapumzikoni kwa ajili ya Krismasi na Mwaka Mpya.
Lionel Messi kwenye mazoezi leo Catalan capital

Wakati La Liga itachezwa kuanzia Jumamosi Januari 4, Serie A itaanza Jumapili Januari 5. Kwa Wapenzi wa La Liga, habari njema ni kupona kwa Mchezaji Bora Duniani anaecheza Klabu ya FC Barcelona, Lionel Messi, ambae alikuwa nje ya Uwanja akijiuguza maumivu ya Musuli za Pajani [Hamstring].
Dynamic duo: Messi and Neymar chat during training
Messi na Neymar leo kwenye mazoezi
South American pair: Messi and Neymar will link up for Barca during the second half of the season
Mesii aliumia Novemba 11 wakati wa Mechi ya La Liga ambayo Barcelona waliitwanga Real Betis Bao 4-1.
Kwenye La Liga, baada ya Mechi 17, Mabingwa Watetezi Barcelona na Atletico Madrid zinafungana kileleni zote zikiwa na Pointi 46 na kufuatiwa na Real Madrid wenye Pointi 41.
Huko Italy, Vinara ni Mabingwa Watetezi Juventus wenye Pointi 46 wakifuatiwa na AS Roma wenye Pointi 41 huku kila Timu ikiwa imecheza Mechi 17.
Huko Germany, Bundesliga, ambayo pia iko Mapumzikoni, itarejea tena dimbani Januari 24.


LA LIGA
RATIBA:
Jumamosi Januari 4
18:00 Malaga CF v Atletico de Madrid
20:00 Real Valladolid v Real Betis
22:00 Valencia v Levante
24:00 UD Almeria v Granada CF
Jumapili Januari 5
14:00 Sevilla FC v Getafe CF
18:00 FC Barcelona v Elche CF
20:00 Osasuna v RCD Espanyol
22:00 Real Sociedad v Athletic de Bilbao
Jumatatu Januari 6
21:00 Real Madrid CF v Celta de Vigo
24:00 Rayo Vallecano v Villarreal CF
Ijumaa Januari 10
23:00 Granada CF v Real Valladolid
SERIE A
RATIBA:
Jumapili 5 Jan 2014
17:00 AC Chievo Verona v Cagliari Calcio
20:00 ACF Fiorentina v AS Livorno Calcio
22:45 Juventus FC v AS Roma
Jumatatu 6 Jan 2014
14:30 SSC Napoli v UC Sampdoria
17:00 AC Milan v Atalanta BC
17:00 Parma FC v Torino FC
17:00 Udinese Calcio v Hellas Verona FC
17:00 Genoa CFC v US Sassuolo Calcio
17:00 Calcio Catania v Bologna FC
20:30 SS Lazio v Inter Milan

MSIMAMO WA LA LIGA KWA SASA 2013-2014 ULIVYO KWA SASA: 
2013/2014 Spanish Primera División Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Barcelona 17 15 1 1 49 12
8 0 0 27 6
7 1 1 22 6
37 46
2 Atletico Madrid 17 15 1 1 46 11
9 0 0 33 6
6 1 1 13 5
35 46
3 Real Madrid 17 13 2 2 49 21
7 0 1 27 8
6 2 1 22 13
28 41
4 Athletic Bilbao 17 10 3 4 26 21
7 2 0 17 8
3 1 4 9 13
5 33
5 Real Sociedad 17 8 5 4 33 23
5 2 1 21 7
3 3 3 12 16
10 29
6 Villarreal 17 8 4 5 27 18
4 3 2 16 11
4 1 3 11 7
9 28
7 Sevilla FC 17 7 5 5 32 29
4 2 2 16 10
3 3 3 16 19
3 26
8 Getafe 17 7 2 8 20 27
4 2 3 13 12
3 0 5 7 15
-7 23
9 Espanyol 17 6 4 7 22 23
4 2 3 13 12
2 2 4 9 11
-1 22
10 Malaga 17 5 5 7 19 22
4 0 4 12 11
1 5 3 7 11
-3 20
11 Valencia 17 6 2 9 23 29
4 1 4 16 13
2 1 5 7 16
-6 20
12 Granada 17 6 2 9 15 22
2 0 7 8 13
4 2 2 7 9
-7 20
13 Levante 17 5 5 7 17 25
2 3 3 8 9
3 2 4 9 16
-8 20
14 Elche 17 4 5 8 16 23
2 2 5 6 10
2 3 3 10 13
-7 17
15 Celta Vigo 17 4 4 9 21 27
1 4 4 7 12
3 0 5 14 15
-6 16
16 Almeria 17 4 4 9 17 32
1 3 4 7 15
3 1 5 10 17
-15 16
17 Real Valladolid 17 3 6 8 21 29
2 3 3 11 11
1 3 5 10 18
-8 15
18 Osasuna 17 4 3 10 14 28
2 2 4 8 11
2 1 6 6 17
-14 15
19 Rayo Vallecano 17 4 1 12 16 40
2 0 6 8 18
2 1 6 8 22
-24 13
20 Real Betis 17 2 4 11 15 36
2 3 4 9 12
0 1 7 6 24
-21 10

waliotembelea blog