Pamoja na kuwa nyuzi joto 44 F siku ya Ijumaa Feb 14, 2013 bado
theluji iliyoanguka maeneo ya DMV (DC, Maryland na Virginia) usiku wa
kuamkia alhamisi Feb 13, 2014 ilikua haijaeyuka yote na kutokana na
magari ya wakazi wa DC kuegeshwa pendezoni mwa barabara na kufanya
magari yanayoplao theluji barabarani kuishia kufanya kazi hiyo katikati
ya barabara na kutokana na wakazi wengi kutokwenda kazini siku ya Ijumaa
Feb 14, 2014 iliwawia vigumu wapiga box kuegesha magari yao wakati
mwingine ilibidi waegeshe katikatii ya barabara na kuzuiwa wengine ili
waweze kufanikisha kazi yao ya kugawa mabox kwa wateja wao.
Moja ya mtaa uliopo Washington, DC ikiwa na theluji kama ilivyokutwa na kamera ya Vijimambo.
Mtaa mmoja wapo uliopo Washington, DC.
Mwenye van hiyo hajaendesha gari hiyo akisubili theluji kuyeyuka.
Mitaa ya Washington, DC imavyoonekana.
Mtaa wa Monroe Washington, DC unavyoonekana,