Mkuu
wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wake Mch.
Chediel Lwiza wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front
jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wachungaji pamoja na waumini
mbalimbali wa KKKT.
Mkuu
wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Katibu Mkuu wa
Dayosisi ya Mashariki na Pwani Godfrey Nkini wakati wa Ibada
iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania Front jijini Dar es Salaam
Mkuu
wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akimpongeza Msaidizi wake aliyemaliza
muda Mch. George Fupe wakati wa Ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Azania
Front jijini Dar es Salaam
Mkuu wa KKKT Askofu Dk Alex Malasusa akmkabidhi gari Msaidizi aliyemaliza muda wake Mch. George Fupe
Baadhi ya Wachungaji waliohudhuria Ibada ya kumuingza kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza
Badhi ya waumni waliohudhuria sherehe za kuingizwa kazini Msaidizi wa Askofu Mch. Chedile Lwiza