Friday, May 2, 2014


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Kaitaba  Bukoba mjini Asubuhi hii tayari kwa  kuwasha Mwenge wa Uhuru. Picha na Faustine Ruta
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Wimbo wa Taifa ukiimbwa na tayari kwa ufunguzi wa Sherehe hizi za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge hapa kwenye Uwanja wa Kaitaba  Bukoba mjini.

waliotembelea blog