Saturday, October 17, 2015


Rooney alipoifunga timu yake ya zamani Everton na kunyanyua mikono juu, likiwa bao la tatu kwa Man United. (0-3) Manchester United wakiongoza.2-0 Ander Herrera akishangilia bao lake la piliBao la pili lilifungwa kwa kichwa dakika ya 22 na Ander Herrera na bao la kwanza lilifungwa na Morgan Schneiderlin dakika ya 18 shuti kali.VIKOSI:
Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway, McCarthy, Barry, Lennon, Barkley, Naismith, Lukaku.
Subs: Robles, Kone, Mirallas, Deulofeu, Osman, Funes Mori, Browning.
Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Jones, Rojo, Schneiderlin, Schweinsteiger, Mata, Ander Herrera, Martial, Rooney.
Subs: Depay, Carrick, Blind, Fellaini, Lingard, Andreas Pereira, Johnstone.
Referee: Jon Moss
Depay kwenye benchi


Bao za Real Madrid zilifungwa kipindi cha kwanza na Marcelo dakika ya 27 na bao la pili kufungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 30. Bao la tatu lilifungwa na Jese dakika ya 81 na kufanya 3-0 dhidi ya Levante.


VIKOSI:
Man City:
Hart, Zabaleta, Otamendi, Mangala, Sagna, Fernandinho, Toure, Jesus Navas, De Bruyne, Sterling, Bony.
Akiba: Kompany, Fernando, Nasri, Caballero, Demichelis, Roberts, Iheanacho.
Bournemouth: Boruc, Francis, Cook, Distin, Daniels, Smith, Gosling, Surman, Ritchie, O'Kane, Murray.
Akiba: MacDonald, King, Kermorgant, Federici, Bennett, Cargill, Pugh.
Refa: Mike Dean

LIVE: EVERTON 0 v 2 MANCHESTER UNITED

Bao la pili lilifungwa kwa kichwa dakika ya 22 na Ander Herrera na bao la kwanza lilifungwa na Morgan Schneiderlin dakika ya 18 shuti kali.VIKOSI:
Everton: Howard, Coleman, Stones, Jagielka, Galloway, McCarthy, Barry, Lennon, Barkley, Naismith, Lukaku.
Subs: Robles, Kone, Mirallas, Deulofeu, Osman, Funes Mori, Browning.
Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Jones, Rojo, Schneiderlin, Schweinsteiger, Mata, Ander Herrera, Martial, Rooney.
Subs: Depay, Carrick, Blind, Fellaini, Lingard, Andreas Pereira, Johnstone.
Referee: Jon Moss
Depay kwenye benchi

 Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe enzi za Uhai wake.
 Msaidizi wa Mbunge huyo, Casablanga Haule enzi za Uhai wake.
 Padri Plasdus Ngabuma enzi za Uhai wake.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika nyumbani kwake Kijichi Dar es Salaam leo mchana.
 Majeneza yenye miili ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deogratias Filikunjombe na ndugu zake, Plasdus Ngabuma na Casablanga Haule yakiwa yamewekwa mbele wakati wa ibada ya kuiombea iliyofanyika nyumbani kwa mbunge huyo Kijichi Dar es Salaam leo, kabla ya kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi.
 Mjane wa Deo Filikunjombe, Sarah (katikati) akisaidiwa na jamaa zake wakati wa ibada hiyo.
 Waombolezaji wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Padri Maxmillian Wambura kutoka Parokia ya Mtakatifu Wote Kiluvya akiyamwagia mafuta ya baraka majeneza hayo.
 Waombolezaji wakiwa katika ibada hiyo.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la Plasdus Haule.

 Jamilia ya Filikunjombe ikiwa katika ibada hiyo.
 Waombolezaji wakiwa kwenye ibada hiyo.
Nyumba ya Filikunjombe ambayo inadaiwa amekaa wiki mbili tangu ahamie baada ya kukamilika ujenzi wake 'Hakika tumuache mungu aitwe mungu"


VIKOSI:
Tottenham XI:
Lloris, Walker, Alderweireld, Vertonghen, Rose, Alli, Dembele, Chadli, Eriksen, Lamela, Kane.
Subs: Vorm, Davies, Trippier, Wimmer, Clinton, Townsend, Winks

Liverpool XI: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Can, Lucas, Milner, Lallana, Coutinho, Origi.
Subs: Bogdan, Toure, Allen, Ibe, Sinclair, Teixeira, Randall.


Sergio Aguero na David Silva wataukosa mtanange wa Man City dhidi Bournemouth leo. Hapo hapo, Tottenham na Liverpool nao wanamajeruhi kadhaa. Wayne Rooney wa Man United yeye yupo vizuri na anataraji kuwaongoza Manchester United kama Nahodha wao huko Goodson Park Everton leo hii. Pia Michael Carrick nae amepona.

VIKOSI VINATEGEMEWA KUWA HIVI:
MAN UNITED DHIDI YA EVERTON

De Gea, Romero, Blind, Rojo, Smalling, Jones, Darmian, Valencia, Schneiderlin, Schweinsteiger, Carrick, Herrera, Pereira, Fellaini, Mata, Depay, Young, Rooney, Martial, Wilson.

MANCHESTER CITY DHIDI YA BOURNEMOUTH
Hart, Caballero, Zabaleta, Sagna, Kompany, Demichelis, Mangala, Otamendi, Maffeo, Toure, Fernandinho, Fernando, De Bruyne, Sterling, Navas, Nasri, Bony, Iheanacho, Roberts, Garcia, Evans, Barker.


TOTTENHAM HOTSPUR
Lloris, Vorm, McGee, Walker, Trippier, Alderweireld, Fazio, Wimmer, Vertonghen, Rose, Davies, Winks, Dier, Bentaleb, Dembele, Mason, Carroll, Alli, Lamela, Townsend, Onomah, Eriksen, Chadli, Njie, Kane.

LIVERPOOL
Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Lucas, Milner, Can, Coutinho, Ibe, Sturridge, Bogdan, Toure, Lovren, Rossiter, Allen, Lallana, Origi, Chirivella, Brannagan


Kocha wa Manchester United Louis van Gaal anadhani umefika wakati wa Wayne Rooney kuanza kuonyesha cheche zake tena kwenye Uwanja wa Goodison Park ambao ndio alichomoza na kuwa Staa wa Dunia.
Rooney alianza kuichezea Timu ya Kwanza ya Everton tangu 2002, akiwa Kijana wa Miaka 17, na kwa Miaka Miwili alizoa kila sifa lakini Mwaka 2004 alihamia Man United kwa Dau la Pauni Milioni 30 na kuzua chuki toka kwa Mashabiki Goodison Park.
Rooney hana raha tena na Goodison Park ambako huzomewa na kutukanwa n ahata Magoli kwake Uwanja hapo ni nadra kwake.
Rooney amefunga Bao 2 tu katika Mechi 10 alizoichezea Man United Uwanjani Goodison Park.
Lakini Van Gaal hajakata tamaa na Jana alisema: “Pengine dhidi ya Everton wastani wake si mzuri. Sasa umefika wakati abadilishe hilo. Sijui kwa nini amekuwa na shida pengine muulizeni yeye. Mimi ni Meneja ninae tathmini wapinzani na kumpa ushauri njia bora kuvunja difensi nap engine atafunga.”
Kabla Msimu huu kuanza, Rooney aliahidi atafunga Bao 30 lakini hadi sasa amefunga Bao 1 tu la Ligi katika Mechi 7.
Hivi sasa Rooney sie Straika mkuu wa Kikosi cha Van Gaal baada ya jukumu hilo kupewa Chipukizi mpya Anthony Martial na Rooney kucheza nyuma yake lakini Van Gaal anaamini bado mchango wa Kepteni wake Rooney ni muhimu.
Van Gaal ameeleza: “Yeye ni Straika wetu wa pili. Namba 10 ni Straika wa pili.”
Ameongeza: “Rooney anaweza kucheza nafasi nyingi na kwangu si muhimu nani anafunga ili mradi tufunge Goli nyingi.”
Van Gaal haamini kuwa mzigo wa kuwa Nahodha umemwelemea Rooney kwani Kepteni wake huyo anauweza kutokana na tabia yake.

Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ambaye yupo katika wakati mgumu kutokana na mwenendo mbovu wa timu yake. Mourinho ambaye amepigwa faini ya pound 50000 na kufungiwa mchezo mmoja kutokaa katika benchi la timu hiyo kufuatia kauli aliyoitoa kwa muamuzi kuwa aliogopa kuwapa penati.
Mourinho alipewa adhabu hiyo baada ya kutenda kosa la kumshambulia kwa maneno refa wa mechi ya Chelsea dhidi ya Southampton, mechi ambayo ilimalizika kwa Chelsea kupoteza kwa goli 3-1. Hata hivyo kocha huyo wa Chelsea alimshambulia kwa maneno refa Robert Madley hivyo FA waliamua kumuadhibu.
jose mourinho
October 16 Mourinho amethibitisha kukata rufaa kufuatia adhabu aliyopewa na shirikisho la mpira wa miguu Uingereza FA, kwani anaamini hakufanyiwa haki katika maamuzi ambayo yamefanywa na FA. Hata hivyo Mourinho ni kocha ambaye hapendi kufungwa na kama ikitokea timu yake ikafungwa basi hutoa kauli tofauti tofauti.

waliotembelea blog