Saturday, September 7, 2013

IMG_0273
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine.
Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine,ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii aliyewahi kuiwakilisa shindano la BSS,Walter Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu.

Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea usiku huu kwenye uwanja wa Sokoine,Mkoani Mbeya

Mama wa miduara ya Kibongofleva,Shilole akiwa na madensa wake wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Sehemu ya umati wa watu.

Mkali mwingine wa hip hop (bongofleva),Ney wa Mitego akikamua jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,kwenye uwanja wa Sokoine,mjini Mbeya.

Wakazi wa jiji la Mbeya wakitoa heshima kwa baadhi ya wasanii waliotangulia mbele za haki, kwa kuwasha tochi za simu zao usiku huu.


Rich Mavoko na skwadi lake wakilishambulia jukwaa.

Shilole akiimba jukwaani.

Wasanii mahiri katika miondoko ya hip hop,Stamina na Young Killer wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Sokoine usiku huu.

Ni shangwe tu kwa wakazi wa jiji la Mbeya usiku huu ndani ya uwanja wa Sokoine.
Mmoja wa sanii mahati wa kizazi kipya,Ommy Dimpo akiwaimbia mashabiki wake singo yake mpya iitwayo Tupogo usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013.

MKali wa kukamua mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akiwarusha maelfu ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya wanaondelea kumiminika kwenye uwanja wa Sokoine usiku huu.

Msanii aliyewahi kulwakilisa shindano la BSS,Walter Chilambo ndiye aliyefungua pazia la onesho hilo usiku huu,pichani akitumbuiza mbele ya mashabiki wake.

Baadhi ya watu wakifuatilia yanayojiri usiku huu kwenye tamasha la Seremgeto Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Mkali wa Mahaba,a.k.a tajiri wa Mahapa kutoka mwambao wa Pwani,Cassi Mganga akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu ndani ya tamasha la serengeti fiesta 2013,kwenye uwanja wa Sokoine mkoanni Mbeya.


MTALII mmoja raia wa Marekani, Thomas Macfee (58), ameuawa na kundi la tembo wakati akiwa kwenye kambi ya Kakoi Tarangire eneo linalodaiwa kuwa ni mapito ya asili ya wanyama hao.Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Manyara, Musa Marambo, alisema kuwa tukio hilo lilitokea Agosti 30 mwaka huu, saa 2:30 asubuhi baada ya mtalii huyo akiwa na wenzake watano ambao majina yao hayakupatikana kujaribu kupiga picha za kundi kubwa la tembo lililokuwa likipita karibu na eneo walilokuwa.Alisema
kuwa wakiwa kwenye harakati za kupiga picha, ghafla tembo hao walibadili uelekeo na kuanza kuwafuata ndipo wakaanza kukimbia ambapo kwa bahati mbaya Macfee alinasa kwenye dimbwi la matope.


“Baada ya kunasa kwenye matope alishindwa kutoka ndipo tembo wale wakaanza kumpitia juu na baada ya hapo wenzake walienda kumchukua na kumuwahisha kwenye zahanati ya hifadhi ya taifa ya Tarangire ndipo akafariki,” alisema Manyara.
Alisema kuwa baada ya kufariki alipelekwa kuhifadhiwa kwenye hospitali ya Selian jijini Arusha ambapo ubalozi wa Marekani ulimchukua kwa ajili ya taratibu za mazishi.
Meneja uhusiano wa Tanapa, Paschal Shelutete, alitoa taarifa kwa vyombo mbalimbali vya habari akifafanua kuwa eneo alilokuwa mgeni huyo ni nje ya hifadhi yao.
“Tukio la mgeni husika lilitokea nje ya hifadhi ya Tarangire katika kijiji cha Kakoi kambi ya Tarangire River Camp, wakiwa wanafanya utalii wa kutembea kwa miguu.”
“Baada ya kuvamiwa na kuumizwa, mgeni huyu alifikishwa katika zahanati ya Tarangire na watumishi wa kambi aliyofikia ambayo iko nje ya hifadhi kwa ajili ya matibabu ya huduma ya kwanza ambapo alifariki,” alisema.


Miss Tanzania Brigitte Lymo kwasasa yuko nchini Indonesia kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2013 yanayotarajiwa kufanyika mwezi huu.

Akiwa na Miss Uganda


Miss Switzerland,Slovakia,Turkey,Vietnam,Czech rep,Guyana,Trinidad and Tobago at diinnneerrr 

Miss Trinidad and Tobago, Miss Guyana,Miss Tanzania!




vietnam, malaysia, nicaragua ,uganda, namibia, czech republic



Nimepita pita kwenye Instagram nikakutana na picha ya wazazi wa mwanamuziki Lina Sanga..kushoto ni mama yake na na kulia ni baba yake mzazi...Lina amefanana sana na mama yake au we unaonaje?  
hiki ndicho alichokuwa amekiandika Lina kwenye picha hiyo



Salam kwa wana jamvi wote!
Napenda kutoa funzo moja hapa! Ila sio msimulizi mzuri sana lakini naamini nitaeleweka tuuu....
Mimi na rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki baada ya kuajiriwa siku moja hapa jijini!
Kwa kweli, bila hata kumaliza mwenzi mmoja the big boss akaanza kutupa mawe kwa rafiki yangu huyu ila hakuniambia kama boss anataka kungonoka! Ila binti akamtolea nje!!
Alipo ona yamashindikana kule si ndoo akaamua ahamie kwangu kujaribu bahati yake, mimi nisivyo na siri nikaona nimshirikishe huyu rafiki yangu si ndo akafunguka nami nikajua kuwa boss ana mchezo mchafu!!
Nikamwambia hakuna dinner atakayo nialika nikaenda ila mwenzangu vi dinner alikuwa havikosi!
Ila anavyo sema rafiki yangu hajawahi ku do naye!!!!!
Sasa wiki hii, boss kanivulia uvivu macho kodo kwangu kila wakati, mara ohooo leo umependeza sana ohoo you luk scorching gorgeous hajui mwenzie najua kuwa tabia yake ni hafu!
Sasa jana si akanipigia simu after work twende kwa coffe enening coloessum, kwa kuwa ilikuwa mapema nikasema kwa nini niwahi home hivi!
After those thoughts na maamuzi ya kwenda binti nikamwambia poa not a big deal, nikamtonya shosti yangu akaniambia usiogope nothing he shall do to you! Hao mpaka coloessum
After coffee akasema twende ukaone mahali ninapoishi nkamwambia poa............
Kufika hapo, akaanza can we spend a night together tomorrow?
Nikamwambia what will be the reward? huwezi nikunja usiku mzima for nothing atiiiii, cause i know hakuna love!!
Boss aka offer 500,000/ nikamwambia labda millioni tano!!!!!
Kapanda mpaka 3.5 mil nikasema 5 mil cash final + HIV test!
Akasema hapana that is too much! nIkamwambia then call it a day and take me home!!!!!!
Sasa this morning at work he texted me, the offer is granted come and pick your cash!!!!!!
Nimeenda kwa ofisi nikamwambia my mind has changed keep your dirty money with you!!!!!
He looked at me with a surprise usoni, I told him i thought few days after the incident will i be able to work again and a thought mapenzi ofisini ni upuuzi mtupu!!!!!
He said good thoughts, u re too emotional!
He ended we shall be always frends & anything you nid just tell me will be glad to help!!!
  

waliotembelea blog