Sunday, May 17, 2015


Lionel Messi akishangilia bao lake la pekee usiku huu dhidi ya Atletico Madrid katika kipindi cha pili.Kikosi cha BarcelonaVIKOSI:
Atletico Madrid:
Oblak, Juanfran, Godín, Giménez, Siqueira, Mario Suarez, Gabi, Koke, Arda, Griezmann, Torres.
Barcelona: Bravo, Alves, Alba, Pique, Mascherano, Rakitic, Busquets, Iniesta, Messi, Neymar and Pedro.


Bony akiwafunga bao Swansea na kufanya 4-2 kwenye Uwanja wa Liberty Kipindi cha pili dakika ya 74 Yaya Toure alifunga bao la tatu na kufanya 3-2 na dakika za mwishoni mchezaji wa zamani wa Timu ya Swansea City anayekipiga kwa sasa katika klabu yake mpya ya Man City Wilfried Bony akitokea benchi aliwapatia bao la nne dakika ya 90 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao 4-2 dhidi ya Wenyeji Swansea.Yaya Toure akimpongeza MilnerKipindi cha pili dakika ya 64 Bafetimbi Gomis aliwasawazishia bao Swansea City kwa kufanya 2-2.Sigurdsson dakika ya 45 kipindi cha kwanza alifunga nae bao na kuifanya Timu yake Swansea City kwenda mapumziko ikiwa nyumma ya bao 2-1 dhidi ya City.
Milner dakika ya 36 aliifungia bao la pili Manchester City na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Swansea City.Yaya  Toure akiachia shuti kali na kuguswa guswa na Mabeki wa Swansea City na kuubadili mwelekeo mpira na kuzama moja kwa moja langoni mwao.Yaya Toure akika ya 21 anaifungia bao la kuongoza City


Ander Herrera dakika ya 30 anaipatia bao la kuongoza United akipata krosi safi kutoka kwa Ashley Young kama kona na Ander kuumaliika kwa shuti kali hadi langoni mwa Arsenal na mtanange kwenda mapumziko United wakiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal. 
Dakika ya 82 Tyler Blackett aliyeingia kipindi cha pili mpira ulipigwa na mchezaji wa Arsenal Theo Walcott kisha kuutengengua na kujifunga bao na kuwapa zawadi Arsenal kwa kusawazisha na kufanya sare ya 1-1.Falcao kaanza..Smalling ndie Kepteni katika Upande wa Manchester United
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Rojo, Mata, Blind, Herrera, Young, Fellaini, Falcao
Man Utd akiba: Di Maria, Januzaj, Van Persie, Valdes, McNair, Blackett, Wilson
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud 

Arsenal Akiba: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Rosicky, Wilshere, Walcott, Flamini
Refa: Mike Dean Manchester United vs Arsenal Premier League LIVE: Line ups see Radamel Falcao lead Red

DIAMOND PLATNUMZ NA TIMU YAKE YA WCB WATEMBELEA UBALOZI LONDON

Diamond Platnumz akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Peter Kalage katika Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza baada ya msanii huyo mwenye jina kubwa Tanzania na Duniani kwa ujumla akiwa na timu yake walipotembelea Ubalozi huo mjini London.Diamond na vijana wake wakiiingia kwenye office za UbaloziWCB ndani ya mjengoMhe Balozi akimkaribisha DiamondDiamond nae akimshukuru Mheshimiwa Balozi kwa mwaliko wake Diamond Akitia saini Kitabu cha wageni

waliotembelea blog