Sunday, May 17, 2015


Ander Herrera dakika ya 30 anaipatia bao la kuongoza United akipata krosi safi kutoka kwa Ashley Young kama kona na Ander kuumaliika kwa shuti kali hadi langoni mwa Arsenal na mtanange kwenda mapumziko United wakiongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Arsenal. 
Dakika ya 82 Tyler Blackett aliyeingia kipindi cha pili mpira ulipigwa na mchezaji wa Arsenal Theo Walcott kisha kuutengengua na kujifunga bao na kuwapa zawadi Arsenal kwa kusawazisha na kufanya sare ya 1-1.Falcao kaanza..Smalling ndie Kepteni katika Upande wa Manchester United
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Valencia, Jones, Smalling, Rojo, Mata, Blind, Herrera, Young, Fellaini, Falcao
Man Utd akiba: Di Maria, Januzaj, Van Persie, Valdes, McNair, Blackett, Wilson
Arsenal: Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin, Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud 

Arsenal Akiba: Szczesny, Gibbs, Gabriel, Rosicky, Wilshere, Walcott, Flamini
Refa: Mike Dean Manchester United vs Arsenal Premier League LIVE: Line ups see Radamel Falcao lead Red

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog