Saturday, June 7, 2014


JANA, kwenye Mechi ya Kirafiki huko Die Coface Arena, Jijini Mainz, Germany,Miroslav Klose aliweka Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora wa Germany ambayo iliifunga Armenia Bao 6-1 lakini imekumbwa na wasiwasi baada kuumia Mchezaji wao Marco Reus.
Klose, mwenye Miaka 35, alitoka Benchi na kufunga Bao lake la 69 kwa Germany na kumfanya awe ndie Mfungaji Bora wao katika Historia.

Marco Reus kijiuguza chini baada ya kuumia ankle jana usiku wakati wanakipiga na timu ya ArmeniaMarco Reus katikati chini akisaidiwa haraka kuona kama anaendelea au la!!Mwisho: Alitolewa nje! sasa ni mashaka kucheza Kombe la Dunia mwezi huu baadae...
Andre Schurrle alitangulia kuipa Germany Bao na Armenia kusawazisha kwa Penati ya Henrik Mkhitaryan na hapo ndipo Germany iliposhusha Mvua ya Magoli.
Baada ya Mechi, Kocha wa Germany, Joachim Low, aliongea: "Reus anachunguzwa Hospitali. Tunasubiri. Mpaka Masaa 24 kabla ya Mechi ya Kwanza, kwa mujibu wa Sheria, tunaweza kumwita Mchezaji mwingine kumbadili!”
MATOKEO/RATIBA MECHI ZA KUJIPIMA: 
KIMATAIFA-Kirafika
Ijumaa Juni 6
Russia 2 Morocco 0
Germany 6 Armenia 1
Brazil 1 Serbia 0
Jumamosi Juni 7
2:00   Croatia         Vs      Australia
2:00   Colombia      Vs      Jordan
2:30   Japan           Vs      Zambia
3:00   Costa Rica    Vs      Northern Ireland
3:00   Cameroon     Vs      Guatemala
3:00   Greece          Vs      Bolivia
3:00   Costa Rica    Vs      Ireland
3:30   Mexico          Vs      Portugal
19:00 Cameroon     Vs      Moldova
20:00 Estonia         Vs      Tajikistan
21:30 Hungary       Vs      Kazakstan
21:45 Belgium        Vs      Tunisia
21:45 Argentina     Vs      Slovenia
23:00 El Salvador  Vs      Spain
23:45 England        Vs      Honduras

KOMBE LADUNIA
RATIBA-Mechi za Ufunguzi:
Alhamisi 12 Juni 2014
KUNDI A
2300 Brazil V Croatia
Ijumaa 13 Juni 2014
1900 Mexico V Cameroon

waliotembelea blog