Mico the Best ni msanii mkubwa sana nchini Rwanda.... Kwasasa yupo hapa Tz kwaajili ya
Collabo ya wimbo wake mpya Sinakwibagiwe(Sijakusahau) Pale Mj-Recordz chini ya Dr. Chaliii!
|
Dr. Chali mtamboni akisababisha yake.... |
THE MAKING OF NATAKA KULEWA (MUSIC VIDEO)
Haya ni maandalizi ya awali yakifanyika,Mafundi wakifunga vyombo vya muziki n.k |
Director Raqey toka I-VIEW akifanya yake pia... |
Hawa ni baadhi ya Models waliyoshiriki katika Video hii.... |
Esma Khan |
Lady Naa |
Super Model Nance |
Jully |
Hapa Wasafi tukitupia nini na nini... |
Mose Iyobo |
Dumi Utamu |
Mose Iyobo,Emma Platnumz & Rama (Wasafii) |
Hata mimi kiti hiki kilikuwa kinanihusu pia.... |
Nikifanya Interview na Martin Kadinda |
Me,Raqey & Martin |
Ndio kwanza shughuri imeanza ....Platnenga tena nikujipigia tu Drums |
Mose Iyobo |
Emma Platnumz |
Dumi Utamu |
Nisha kageuka kuwa Pedeshee wa Kike nikumwaga minoti tu LOL! |
& Ma` Sister Esma |
Hawa ni Wazee waliyoshiriki pia kwenye Video hii |
GET READY FOR THE NEW VIDEO TOKA KWA KEISHA ft. DIAMOND PLATNUMZ
Nikiteta jambo na Keysher kabla ya kushoot... |
Taym ya Makeup sasa.... |
Hii ndio ilikua scene ya mwanzo kushoot... |
Basi wadaku msije mkazua yenu tena... maana hamkawii....Video tu HIII!!! |
Baadhi ya crew ya Next Level ikitimiza wajibu wake.... Basi mwanadada huyu anavyonishangaa navyopaka wanja...LOL! |
Kwa mara nyingine tena mmmh! mwenzangu.... |
Hii ni moja ya scene...tulizozishoot tukiwa ndani ya Gari |
Hizi ndo scene nnazozipenda mie sasa za maakuli |
Kazi na dawa...huu ulikuwa ni muda wa makulakula |
Dumi Utamu tena... |
Baadhi ya models walioshiriki |
Keisha akifanya Makeup... |
Alawi Junior & Mubenga |