Monday, March 23, 2015

 
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa na kulia ni promota wa mpambano uho Jay Msangi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassini Abdalla kushoto akisalimiana na bondia Wang Xin Hua kutoka China mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na mohamed Matumla utakaofanyika march 27 katika ukumbi wa diamond jubilee katikati ni Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa Picha na SUPER D BOXING NEWS

bondia Wang Xin Hua kutoka China

Bondia Wang Xin Hua kutoka China akilakiwa na mwenyeji wake Rais wa ngumi za kulipwa nchini PST Emanuel Mlundwa



TIMU ya soka ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars, jana ilijiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kucheza fainali za Afrika baada ya kuichapa Zambia mabao 4-2 katika mechi ya awali iliyochezwa mjini Lusaka.
Kutokana na ushindi huo, Twiga Stars sasa inahitaji sare ya aina yoyote timu hizo zitakaporudiana wiki mbili zijazo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Habari kutoka Zambia zimeeleza kuwa, katika mechi hiyo, Twiga Stars ilicheza soka ya kiwango cha juu na kuwazidi wapinzani wao katika kila idara.
Kocha Mkuu wa timu hiyo, Rogasiun Kaijage, alisema kwa njia ya simu kutoka Lusaka kuwa, ushindi huo ulitokana na vijana wake kucheza kwa kufuata maelekezo yake.
Kaijage alisema ushindi huo hautawafanya wabweteke, badala yake watacheza mechi ya marudiano kwa lengo la kuibuka na ushindi mwingine mkubwa zaidi



Hii ndio nyumba mpya ya mwanamuziki anae wakimbiza wenziwe barani Africa Diamond Platnumz ambayo mwenyewe ameipa jina la "STATE HOUSE" kwa mujibu wa maelezo yake mwenyewe hii ni moja ya kati ya nyumba kumi anazo zimiliki

Jikoni ndio hapo everything on point

Diamond Aliweka hii caption kwenye picha hii.
"In my 70Million Pure Gold plated toillet...pupping and Movies Lol!��..i can't wait to play dirty game with her"

The view of my Custom made designer Gypsum Ceiling from my Bed... ( maneno ya raisi wa wasafi hayo)


Luis Suarez akishangilia vikali baada ya kuishindilia bao la Ushindi Real Madrid na kuipatia Ushindi wa El Clasico Barcelona wa bao 2-1 leo huko Camp Nou.Kipindi cha pili dakika ya 56 Luis Suárez aliifungia bao la pili na kufanya 2-1 dhidi ya Real baada ya kupata mpira kutoka kwa
Daniel Alves. Ushindi huu umeipaisha Barcelona juu kileleni wakiwa na pointi 68 nyuma ya pointi 4 Real Madrid ambao mpaka sasa wamebakia nafasi ya pili wakiwa na pointi 64. Valencia ambaye yupo nafasi ya tatu anapointi 60 nae nyuma ya pointi 4 kuikama ta Real.
Ronaldo akioneshwa kadi ya njanoRonaldo akipongezwa..Cristiano Ronaldo of Real Madrid CF celebrates as he scores their first and equalising goalRonaldo akishangilia bao lake la kusawazishaRonaldo aliisawazishia bao Real
Dakika ya 31 Cristiano Ronaldo aliisawazishia bao Real na kufanya 1-1akilishwa mpira na Karim Benzema.
Baadhi ya Wachezaji wa Barca wakimpongeza mwenzao baada ya kuifungia bao Dakika ya 19 kipindi cha kwanza Barcelona wanapata bao kupitia kwa Jérémy Mathieu na kufanya 1-0 dhidi ya Real Madrid baada ya Lionel Messi kupiga mpira wa adhabu - Friikiki.Sergio Ramos aipagawa baada ya Jeremy kuwaua bao la kwanza...Mpaka ndani ya nyavu za RealJeremy Mathieu of Barcelona (R) scores their first goal with a headerJérémy Mathieu akiwaua Real bao kwa kichwa!Pepe baada ya kumwangusha chini NeymarGareth Bale akituliza mpira kiuzuri!Cristiano Ronaldo akimiliki mpira.Bale akiendesha mpira kipindi cha kwanza.Gareth Bale of Real Madrid CF is chased by Neymar of BarcelonaBale akikimbizwa na NeymarBarcelona line up prior to the La Liga match between FC Barcelona and Real Madrid CFKikosi cha BarcelonaKikosi cha Real Madrid

Mwamuzi wa kati ni Antonio Miguel Mateu Lahoz na Mashabiki waliongia kuuona mtanange huu ni 99,000.VIKOSI:
BARCELONA XI: Bravo, Alves, Pique, Mathieu, Alba, Rakitic, Mascherano, Iniesta, Messi, Suarez, Neymar
AKIBA: Ter Stegen, Busquets, Xavi, Pedro, Rafinha, Bartra, Adriano.
REAL MADRID XI: Casillas, Carvajal, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric, Kroos, Isco, Bale, Benzema, Ronaldo
AKIBA: Keylor Navas, Varane, Arbeloa, Illarramendi, Lucas Silva, Jese, Chicharito.


Raffael Araújo wa Borussia MonchengladbachBayern Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na kipindi cha pili dakika ya 77 na mchezaji huyo huyo
Raffael Araújo.
Bayern Munich leo wamefungwa bao 2-0 bila kujitetea na mchezaji Raffael Araújo wa Borussia Monchengladbach, Bao zilifungwa na dakika 30 na kipindi cha pili dakika ya 77 na mchezaji huyo huyo Ushindi wa Borussia Monchengladbach umewapandisha nafasi ya tatu wakiwa na pointi 47 na Bayern Munich wapo kileleni wakiwa na pointi 64 mbele ya pointi 10 kutoka kwa mshindi wa pili Wolfsburg wenye pointi 54.
Kipa Manuel Neueralifanya makosa langoni mwake na mpira kuzama nyavunina kupa bao la kwanza Borussia Monchengladbach, 1-0 kipindi cha kwanza.
Soma Zaidi Hapa »



Loïc Remy dakika ya 77 aliipa bao la tatu Chelsea na kufanya matokeo kuwa 3-2 na mpira kumalizika kwa Chelsea kuibuka kidedea. Ushindi huu unawapaisha Chelsea kileleni wakiwa na pointi 6 wakiwa na pointi 67 dhidi ya Man City ambaye yupo nafasi ya pili ambaye ana pointi 61.

Remy ran over to the touchline to celebrate with the Chelsea staff as Jose Mourinho dishes out instructions to his team
Remy alikimbia na kupongezana Viongozi wake akiwemo Kocha Mkuu Jose Mourinho
Remy's effort squirmed under the legs of Hull City goalkeeper Allan McGregor to give Chelsea the three points
Remy akimfunga kipa wa Hull Allan McGregor na kuipa Chelsea pointi tatu muhimu leo hii.
Abel Hernandez capitalises on Thibaut Courtois' mistake to get Hull City back on level terms against Chelsea on Sunday
Abel Hernandez akifanya yake dhidi ya  Thibaut Courtois leo Jumapili
The young Belgian goalkeeper tried to dribble past Gaston Ramirez with the ball but it fell to Hull striker HernandezKipa nae kacheza leo!

Dakika ya 28 Ahmed El Mohamadyanaipatia bao la kusawazisha Hull City na kufanya 2-2.
Dakika ya 26 Ahmed El Mohamadyanaipatia bao Hull City na kufanya 2-1.
Dakika ya 9 tena Diego Costa anaifungia bao Chelsea na kufanya 2-0 dhudi ya Hull


2-0 Man United ilifanikiwa kupata bao mbili kupitia kwa Juan Mata.2-0
Juna Mata (Katikati) akishangilia bao lake la pili kwa Man United. Rooney akimpongeza Juan MataUshindi huu umewapandisha Man United wakiwa nyuma ya pointi moja dhidi ya Timu ya Arsenal, United wakiwa na pointi 59 na Arsenal 60. Liverpoo wao wamebakia hapo walipo wakiwa nafasi ya tano na pointi zao 54 mbele ya pionti moja dhidi ya Southampton ambao wanapointi 53.Kipindi cha pili dakika ya 59 Juan Mata aliiongezea bao tena Man United baada ya kupewa krosi tamu na Angel Di Maria na Juan Mata kufunga bao kwa tiktaka kali na kufanya 2-0. Mtanange huu ulimalizika Mtu 10 Uwanjani kwa Upande wa Liverpool baada ya Steven Gerrard kumfanyia rafu mbaya mchezaji wa United Ander Herrera na dakika za mwishoni dakika ya 90 Nahodha wa Man united Wayne Rooney alikosa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika kwa matokeo ya 2-1 Man United wakiibuka Kidedea.Dakika 69 Daniel Sturridge anaifungia bao na kufanya 2-1.Steven Gerrard akioneshwa kadi nyekundu na Mwamuzi.Taswira yenyewe ya rafu!Gerrard aliingia muda tu kipindi cha pili kilipoanza na ilipita muda kiduchu Juan Mata kaifungia bao la kuongoza Man United kipindi cha kwanza dakika ya 14 dhidi ya Liverpool kwenye Uwanja wa Anfield. Mpaka mapumziko Man United 1-0 Liverpool, Bao likifungwa na Juan Mata Juan Mata ameifunngia bao Man United dakika ya 14 baada ya kuwachomoka mabeki wa Liverpool baada ya kutanguliziwa pasi na Ander Herrera.Mata leo kawa hatariiBalaa!Raha ya bao!Dakika za mwishoni Martin Skrtel alimkanyaga mguu kipa wa United David De GeaRooney alikosa penati dakika ya 90Brendan Rodgers looks onJordan Handerson na Daley Blind kwenye patashika.....Mario chupuchupu na Chris SmallingMario alitulizwa na Mashabiki wa LiverpoolKumbe Mario ulimdaka Chris Mguu!!? muone!!Patashika zilipoanzia mpaka kujikuta nje ya Uwanja!Hatari!!Karibu Anfield, Wakisalimiana Makocha kabla ya Mtanange kuanzaMashabiki wa Liverpool.Gwiji la kandanda, Pelle alikuwepo uwanjani hapo kuufuatilia mchezo huo.

waliotembelea blog