United wakishangiliaManchester
United, leo wamemaliza Ziara yao ya huko Asia kwa kucheza Hong Kong na
kuichapa Kitchee FC Bao 5-2. Bao za united zilianza kupatikana kipindi
cha kwanza dakika ya kumi na sita kupitia mshambuliaji Welbeck Dakika,
Fabia akazidi kuichangamkia
timu yake kwa kuipachikia bao dakika ya 26, Januzaj kipindi cha pili
muda mchache kabla ya mapumziko kisha na timu ya Kitchee kuipuka na
mchezaji Lam akaifungia timu yake bao katika dakika ya 53, Alkande
akaipachikia bao tena Kitchee dakika ya 69 huku Lingard kijana mtata na
mwenye kujituma kwa juhudi zake akamaliza kipindi cha pili kwa kuifungia
timu yake ya United bao dakika 80, Hadi Mapumziko, Man United walikuwa
mbele kwa Bao 3-0.
Mechi inayofuata kwa Man United ni huko Stockholm, Sweden watacheza na AIK Fotboll hapo Agosti 6.Mashabiki huko Hong Kong wakiipamba Manchester United baada ya kufunga bao 3-0 kabla ya mapunziko. United wakishangiliwa baada ya kuifunga timu ya Kitchee bao la pili Lam Ka Wai wa Hong Kong akipongezwa dakika ya 53 baada ya kuipatia timu yake bao na kufanya 3-1 kipindi cha pili.Mchezaji wa Kitchee Huang Yang akishindwa kumkaba Anderson wa Man United hapaSmalling akipiga mpira kwa kichwa hapaUwanja ulijaa matope na hapa Smalling kwenye patashika akizuia mchezaji wa Kitchee asipite na mpiraUwanja unavyooneka hapa kimatope matope zaidi!!Evra nae hakusita kuonesha mambo yake hapa mbele ya mchezaji wa Kitchee Tsang Kam KoSmalling akizungukwa hapa!David Moyes kulia akiwa kwenye benchi pamoja na viongozi wasaidiziFabio Da Silva akikimbiza hapa!!Tsang Kam hoi kwa Wilfried Zaha hapa!!Mapema mashabiki wa United walionekana kwa furaha hapa na walionesha furaha ya kushinda tangu mapema

VIKOSI:
Kitchee: Comi, Rodriguez, Rehman, Kei, Alkande, Belencoso, Wai, Annan, Yang, To.
Subs: Jianqiao, Wen, To, Fung, Quankun, Hau, Fai, Paramo, Lam, Deshuai, Lung
Goals: Lam (53), Alkande (69)
Manchester United: Amos, Evra (Buttner HT), Anderson, Smalling, Carrick (Jones 72), Young (Januzaj HT), Welbeck (Lingard HT), Fabio (Rafael 72), Cleverley, Zaha, Keane.
Subs: Lindegaard, Rafael, Jones, Ferdinand, Giggs, Van Persie, Buttner, Lingard, Januzaj.Goals: Welbeck (16), Smalling (22), Fabio (26), Januzaj (47), Lingard (80)