Tuesday, October 29, 2013

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho

Nani kuibuka kidedea leo? kati ya Jose Mourinho na Arsene Wenger - Capital One Cup

Wanaweza kupanga hivi!!

Enzi hizo mwaka 2005
Not the best of friends: Mourinho came out on top against Wenger in the 2007 Carling Cup final
Mwaka 2007 Fainali kombe la Carling RAUNDI ya 4 ya CAPITAL ONE CUP, Kesho mitanange Baadhi kupigwa Mechi kubwa na yenye mvuto mkubwa ni ile itakayochezwa Uwanja wa Emirates kati ya Wenyeji Arsenal na Chelsea.
Usiku huo huo, Mabingwa wa England, Manchester United, watakuwa kwao Old Trafford kuwakaribisha Norwich City.

RATIBA
Mechi zote Saa 4:45 Usiku

Jumanne Oktoba 29
Arsenal v Chelsea
Birmingham v Stoke
Burnley v West Ham
Leicester v Fulham
Manchester United v Norwich

Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull

Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton

Miliki wa kampuni ya Jerusalemu filim ambae pia ni msanii na director mwenye majina mengi ila kwasasa muite jb ameonyesha jeuri ya pesa na kukua kwa soko lake mara baada ya kuwakutanisha mastar kibao katika filamu yake ya mikono salama inayoongozwa na Director Adamu philip kuambiana.

Akipiga story na thesuperstars mapema hii leo jb ameseama ameamua kufanya filamu hiyo ili kuleta ladha tofauti katika filam zake kwani ndio kazi ya msanii....Kaka unajua kwa sasa sanaa inakuwa kwahiyo ni lazima pia tubadilike kulingana na soko lenyewe mimi kama story itakuwa inawataka watu hao basi nitawachezesha bila kujali gharama kwani story ndio itakuwa inawataka alisema jb nakuongeza kuwa anafikiri kwake litakuwa jambo jema kuwakutanisha wakali hao katika filamu moja.....Mfano Richi na Joket ndio nimewakutanisha hapo pia uwoya na joketi hawakuwahi kukutana katika filamu sasa watu wakae mkao wakula waone kazi iliyofanyika humo ndani alimaliza kusema mtumishi wa mungu au ukipenda muite bonge la bwana.

Alipohojiwa pia kwanini safari hii ameamua kuicha production yake na kuchukua ya kalege picture jb amesema kuwa yote ni katika kuleta ladha tofauti na si vingine....Unajua watu watashangaa sana kuona production nyingine lakini sina maana kuwa siiamini hapana nataka kuleta ladha tofaut katika filamu zetu mfano john kalage ni mtu wa movie japo alibobea katika music na kufanya poa sasa nataka pia ladha yake katika filamu hii alimaliza jb.

           Angalia picha watu wakiwa location

Director Adam K
Kuambiana akiwekwa sawa
Embe na Kuambiana
Uwoya na Kuambiana
Uwoya na Rich  
Jokate na Rich on Set
Uwoya,John Kallaghe na Jokate
Kikosi Kazi
Rich Rich ndani ya  Filamu mpya ya Mikono Salama
Jokate na Rich on set.....
Action!!!!!
Kazi inaendelea
Adam K, Jokate na John K
Kidoti na John K

waliotembelea blog