Wednesday, May 7, 2014


New man: Louis van Gaal is set to be appointed as Manchester United manager but it will not happen this weekLouis van Gaal amefikia makubaliano kuwa Meneja mpya wa Manchester United kwa mujibu wa duru za habari za ndani huko Egland.
Hata hivyo, Klabu ya Man United imedokeza kuwa haitatangaza habari yeyote kuhusu Meneja mpya Wiki hii.
Van Gaal ndie Kocha wa Timu ya Taifa ya Netherlands ambayo Mwezi Juni itakuwa huko Brazil kucheza Fainali za Kombe la Dunia.

Own team: Current Holland assistant Patrick Kluivert could come to Old Trafford with Van GaalHabari hizo kuhusu Mdachi huyo kukubali kuwa Meneja mpya pia zimethibitisha kuwa Meneja wa sasa wa Muda, Ryan Giggs, ambae aliteuliwa mara tu baada ya kufukuzwa David Moyes, atabaki na kuwa mmoja wa Makocha chini ya Louis van Gaal.
Van Gaal, Miaka 62, ameshatwaa Ubingwa kwenye Ligi za Holland, Spain na Germany akiwa na Klabu za Ajax, Barcelona and Bayern Munich na pia kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI Mwaka 1995 akiwa na Ajax.

Experienced: Current Holland boss Van Gaal enjoyed successful spells at Bayern Munich, Barcelona and AjaxInatarajiwa Van Gaal ataijenga upya Man United kwa kusajili Wachezaji wapya kadhaa kabla Msimu mpya wa 2014/15 kuanza hapo Agosti 17. Undecided: Ryan Giggs and the Class of '92's role next season is not yet known

WASIFU:
Jina Kamili: Aloysius Paulus Maria van Gaal
Kuzaliwa: 8 August 1951 (age 62)
Mahali: Amsterdam, Netherlands
Uchezaji, Pozisheni: Kiungo
Kazi ya sasa: Meneja Timu ya Taifa Netherlands
Timu ya Vijana: RKSV de Meer

Klabu:
(Kwenye Mabano Magoli)
1972–1973 Ajax Mechi 0 (0)
1973–1977 Royal Antwerp Mechi 43 (7)
1977–1978 Telstar Mechi 25 (1)
1978–1986 Sparta Rotterdam Mechi 248 (26)
1986–1987 AZ Mechi 17 (0)

Jumla: Mechi 333 (34)
Umeneja:
1986–1988 AZ (Msaidizi)
1988–1991 Ajax (Msaidizi)
1991–1997 Ajax
1997–2000 Barcelona
2000–2002 Netherlands
2002–2003 Barcelona
2005–2009 AZ
2009–2011 Bayern Munich
2012– Netherlands

Mataji kama Meneja
AJAX
Eredivisie: 1993–94, 1994–95, 1995–96
KNVB Cup: 1992–93
Johan Cruijff Shield: 1993, 1994, 1995
UEFA Champions League: 1994–95
UEFA Cup: 1991–92
UEFA Super Cup: 1995
Intercontinental Cup: 1995

BARCELONA
La Liga: 1997–98, 1998–99
Copa del Rey: 1997–98
UEFA Super Cup: 1997

AZ

Eredivisie: 2008–09
Bayern Munich
Bundesliga: 2009–10
DFB-Pokal: 2009–10
DFB-Supercup: 2010

Tuzo Binafsi
World Soccer Manager of the Year: 1995
Onze d'Or Coach of the Year: 1995
Rinus Michels Award: 2007, 2009
Dutch Sports Coach of the Year: 2009
Die Sprachwahrer des Jahres (3rd place): 2009
German Football Manager of the Year: 2010

waliotembelea blog