Monday, September 28, 2015

1. Change the formation to 4-3-3Jose Mourinho's side did fight back for a point at Newcastle on Saturday but a formation switch could be beneficial.
 2. Try some of the kids Ruben Loftus-Cheek has impressed in brief appearances and could be a good option to revive the Blues' midfield.
 3. Bring in Baba Rahman, move Cesar Azpilicueta to right-back Eden Hazard's slow start to the season has also played a part. Reviving and inspiring him again will be vital. 4. Get the best from Eden Hazard again
5. Do nothing different, carry on as normal
Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakimlaki kwa shangwe Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Kisiwani, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo leo Septemba 28, 2015.
Umati wa Wananchi wa Mji wa Soni katika Jimbo la Bumbuli, wakisikiliza sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kisiwani, leo Septemba 28, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kisiwan, Mji wa Soni katika Jimbo Bumbuli, Mkoani Tanga leo Septemba 28, 2015.

Jumanne zipo Mechi 8 za Makundi E hadi H na Jumatano ni 8 za Makundi hadi A hadi D.
Mabingwa Watetezi Barca wako kwao Nou Camp kucheza na Bayer Leverkusen wakisaka ushindi wao wa kwanza baada ya kutoka Sare 1-1 na AS Roma katika Mechi yao ya kwanza ya kundi E Ugenini huko Italy.
Lakini Barca watatinga Mechi hii bila ya tegemezi wao mkubwa Lionel messi ambae ameumia Goti na anakisiwa kuwa nje kwa kipindi cha hadi Wiki 8.
Bayer Leverkusen walishinda Mechi yao ya kwanza kwa kuinyuka BATE Borislov 4-1.
Kwenye Kundi F, Arsenal, baada ya kuchapwa 2-1 Dinamo Zagreb wako kwao Emirates kucheza na Olympiacos ambayo ilianza kwa kuchapwa kwao 3-0 na Bayern Munich ambao wanacheza Nyumbani huko Munich na Dinamo Zagreb.
Chelsea, ambao walianza kwa kuinyuka Maccabi Tel Aviv 4-0 Uwanjani Stamford Bridge, wako Ugenini huko Ureno kucheza na FC Porto ambayo ndiyo Klabu iliyompa umaarufu Meneja wao wa sasa Jose Mourinho.
FC Porto walianza kwa Sare ya 2-2 Ugenini na Dynamo Kiev. 

UEFA CHAMPIONS LIGI
RATIBA
Jumanne 29 Septemba 2015

KUNDI E
Barcelona vs Bayer Leverkusen
BATE Borislov vs AS Roma

KUNDI F
Arsenal vs Olympiakos
Bayern Munich vs Dinamo Zagreb

KUNDI G
FC Porto vs Chelsea
Maccabi Tel Aviv vs Dynamo Kiev

KUNDI H

Lyon vs Valencia
Zenit St Petersburg vs KAA Gent

Jumatano 30 Septemba 2015
KUNDI A

Malmö FF v Real Madrid
Shakhtar Donetsk v Paris St Germaine

KUNDI B
CSKA v PSV
Man United vs VfL Wolfsburg

KUNDI C
1900 FC Astana v Galatasaray
Atletico Madrid vs Benfica

KUNDI D
Borussia Mönchengladbach vs Man City
Juventus vs Sevilla

MASHABIKI wa Manchester City sasa wamekuwa mbogo na kuanza kumshambulia Meneja wao Manuel Pellegrini baada ya Jumamosi kunyukwa 4-1 na Tottenham kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.
Wiki mbili zilizopita Man City walikuwa kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kushinda Mechi zao zote 6 za Ligi Kuu England lakini sasa wamechapwa Mechi mbili mfululizo na kupokonywa uongozi wa Ligi na Mahasimu wao wakubwa Man United.
Kwa Mashabiki wengi wa Man City kuporomoka kwao ni kosa la Manuel Pellegrini na uamuzi wake wa kumpiga Benchi Kipa wao Joe Hart na kumchezesha walipochapwa 4 na Spurs haukupokelewa vyema.

Baadhi ya Mashabiki hao wamediriki hata kudai Pellegrini ni Meneja wa kawaida tu na hastahili kuongoza Timu yao yenye Wachezaji wenye hadhi ya Kisupastaa.Harry Kane

Yohane Cabaye akishangilia bao lakePatashika Bao la mkwaju wa penati kipindi cha pili lilifungwa na Mchezaji wa Cabaye limetosha kuwapa Ushindi Crystal Palace leo hii kwenye Uwanja wa Ugenini wa Klabu iliyopanda daraja msimu huu Watford.

Kabaye akishangilia!Rafu mbaya kwenye eneo la penati!Yohane Cabaye akichonga penati!Cabaye akishangilia mbele ya Mashabiki wake
VIKOSI:
Watford:
Gomes, Nyom, Cathcart, Prodl, Anya, Capoue, Watson, Abdi, Deeney, Jurado, Ighalo.
Akiba: Arlauskis, Paredes, Ake, Guedioura, Ibarbo, Berghuis, Diamanti.

Crystal Palace: Hennessey, Kelly, Dann, Hangeland, Souare, Ledley, Cabaye, Puncheon, Sako, Bolasie, Gayle
Akiba: McCarthy, Croll, Mariappa, McArthur, Zaha, Gray, Campbell
Refa: Anthony Taylor

Kipre Tchetche anaiandikia Azam Fc bao la pili dakika ya 52 na kufanya 2-0 dhidi ya Mbeya City. Raphael Alpha anaipa bao Mbeya City dakika ya 56 kipindi cha pili. Azam fc sasa wanapata pointi 12 sasa wakilingana na wengine juu wakitofautiana kwa magoli.
Bao la Mudathir Yahya kipindi cha kwanzana kwenda mapumziko Azam Fc ikiongoza bao 1-0 dhidi ya Timu ya Mbeya City. 

Bao hilo lilifungwa mapema dakika ya 10.

waliotembelea blog