Tuesday, March 18, 2014

Picha zifuatazo zinaonesha tukio la mshika kamera ya kuchukua matukio kwenye ligi ya Ujerumani alivyopamiwa na mchezaji wa Hoffenheim, Andreas Beck hadi kuzimia hapo hapo uwanjani. Baada ya tukio hili mshika kamera huyo alipelewa haraka hospitali ili kufanyiwa matibabu zaidi. Kutokana na tukio hili tayari mashirikisho ya mpira duniani yameanza kufanyia kazi mfumo mzima wa kuweka kamera viwanjani ili kuepusha matukio kama haya kutokea tena kwani ni hatari kwa usalama wa wachezaji na waandishi. Mbali ya kupamiwa na wachezaji, waandishi pia wana hatari kubwa ya kupigwa na mipira ya kasi kutoka uwanjani. 
On the run: Hoffenheim defender Andreas Beck hurtles at full speed towards the cameraImpact: Beck crashes into the unsuspecting cameramanAndreas Beck crashes into cameramanOut cold: The stricken cameraman is floored by the Hoffenheim skipperAndreas Buck crashes into cameramanConcussion: The cameraman was taken to hospital having been knocked out cold

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Phillip Mangula, ambaye pia alikuwa ni miongoni mwa washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kufungua mkutano huo kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya, wakati alipotembelea banda la Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi  mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014. Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biasara na Habari, Linda Byaba. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya, wakati alipotembelea banda la Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014. Kulia ni Mkuu wa Maendeleo ya Biasara na Habari, Linda Byaba. 
bilali_a662f.jpg
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipongezwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014. Kulia ni Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi (wa pili kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa Israel kwa nchi za Tanzania, Kenya Uganda na Seychells, Gilad Millo.
Chanzo: The Habari

waliotembelea blog