Monday, October 24, 2016



Wafungaji ni Pedro mapema dakika ya (1') kaifungia bao la kuongoza Chelsea huku bao nyingine zkifungwa na
Gary Cahill dakika ya (21'), Eden Hazard dakika ya (62') kipindi cha pili. N'Golo Kanté dakika ya (70') na mtanange kumalizika kwa bao 4-0 dhidi ya Mashetani wekundu ambao kwa sasa wanaongozwa na Kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho.

Jose Mourinho Jose MourinhoVIKOSI:
Chelsea:
Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill (c); Moses, Kante, Matic, Alonso; Pedro, Diego Costa, Hazard. 

AKIBA: Begovic, Aina, Terry, Chalobah, Oscar, Willian, Batshuayi.

Manchester United: De Gea, Valencia Bailly, Smalling (c), Blind, Herrera, Fellaini, Lingard, Pogba, Rashford, Ibrahimovic.
AKIBA: Romero, Rojo, Darmian, Carrick, Young, Mata, Martial.

waliotembelea blog