Sunday, March 1, 2015


Kaptani wa Chelsea, John Terry (katikati) akinyanyua Kombe akiwa na wachezaji wa timu hiyo.Hatari tupu kwa Kocha jose mourinho.Kikosi cha timu ya Chelsea kikiongozwa na Kocha wao, Jose Mourinho baada ya kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup 2014/15 usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.Wachezaji wa Chelsea wakishangilia Ubingwa wa Capital One CupMoja ya Patashika mpaka goli likapatikana..Jose Mourinho (katikati) akiwa kanyanyua kombe hilo. Diego Costa akifunga bao la pili dakika ya 56 kipindi cha pili. imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup usiku wa leo Uwanja wa WembleyWakipongezana.Diego Costa akishangilia mbele ya Mashabiki wa ChelseaSpurs Hoi!Raha ya Ushindi!Baadhi ya Wachezaji wa Chelsea wakifurahia Ushindi huo wa bao 2-0 dhidi ya Chelsea

waliotembelea blog