Wednesday, November 26, 2014


Lionel Messi celebrates after scoring his 73rd Champions League goal - and he went on to get anotherLuis Suárez ndie aliyeanza kuliona lango la Apoel Nicosia kipindi cha kwanza dakika 27 kisha bao zilizofuata ni za supa Staa Lionel Messi akifunga Hat-trick usiku huu na Kuvunja Historia bao pili akilifunga dakika ya 38, Kipindi cha pili alifunga bao mbili dakika ya 58 na dakika ya lala salama dakika ya 87. Messi looks to the heavens after his first goal of the night - and his 72nd in the Champions League overallMessiakifikisha bao 74 usiku huu na kuvunja rekodi ya Raul The Argentinian has broken two goalscoring records in a week - La Liga and now Champions LeagueMessi akishangilia bao lake baada ya kutupia hat-trick na kuvunja rekodi ya Raul.


Chelsea's Ivorian striker Didier Drogba celebrates scoring with his team-mates after scoring the 4thWachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04Schalke's Italian head coach Roberto Di MatteoKocha Roberto Di Matheo wa SchalkeJose Mourinho is photographed as he sits on the bench prior to the matchFundi na mbwembwe zake!!Chelsea's players pose for the team photoKikosi kilichoanza cha Chelsea
John Terry alifunga bao la mapema dakika ya 2 na kuifanya Chelsea kuongeza mabao zaidi kwa timu inayofundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matheo.
Willian alipachika bao la pili dakika ya 29 na bao la Tatu lilikuwa la kujifunga wao wenyewe Schalke 04 kupitia kwa Jan Kirchhoff dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza. Didier Drogba alifunga bao la nne kipindi cha pili dakika ya 76 na Ramires alimaliza bao la mwisho ndani ya dakika chache kwenye dakika ya 78.
Bao!!!Chelsea players celebrate after John Terry scored their first goal


Sergio Agüero alifunga bao zote tatu na kuipa ushindi Man City dhidi ya Bayern Munich ambao walikuwa wanacheza Mtu 10 Uwanjani. Ushindi huu unawatoa mkiani na kupanda kwa kutimiza pointi tano kwenye kundi lao E. City sasa Kukipiga sasa Roma huku Bayern wakikipiga na CSKA Moscow mchezo ujao.Sergio Aguero celebrates scoring his team's second goal3-2
Hetitriki ya Sergio Aguero imeweka hai matumaini ya Man City kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano baada ya kuwafunga Mtu 10 Bayern Munich Bao 3-2 huku Aguero akipiga Bao 2 Dakika 5 za mwisho wakati Bayern walikuwa mbele 2-1.
Man Citywalipewa Penati Dakika ya ya 20 kufuatia Sentahafu Medhi Benatia kumwangusha Sergio Aguero ambae alifunga Penati hiyo huku Benatia akipewa Kadi Nyekundu.
Bayern walisawazisha kwa Bao la Alonso Dakika ya 40 na Robert Lewandowski kuwapa Bao la Pili Dakika ya 45.
Bao 2 nyingine za Aguero zilifungwa Dakika za 85 na 90.
Kwenye Mechi ya awali iliyochezwa huko Moscow, AS Roma waliongoza kwa Bao la Francesco Totti katika Dakika ya 43 lakini CSKA walisawazisha Dakika za Majeruhi kwa bahati tu kupitia Berezutski.
Bao za Bayern Munich zilifungwa na Xabi Alonso dakika ya 40 kwa frii kiki na bao la pili kufungwa na Robert Lewandowski katika dakika ya 45 kwa kichwa safi.Aguero dakika ya 22 kipindi cha kwanza anaifungia bao la kwanza kwa mkwaju wa penati.

waliotembelea blog