Wednesday, November 26, 2014


Chelsea's Ivorian striker Didier Drogba celebrates scoring with his team-mates after scoring the 4thWachezaji wa Chelsea wakipongezana baada ya kuisambaratisha Schalke 04Schalke's Italian head coach Roberto Di MatteoKocha Roberto Di Matheo wa SchalkeJose Mourinho is photographed as he sits on the bench prior to the matchFundi na mbwembwe zake!!Chelsea's players pose for the team photoKikosi kilichoanza cha Chelsea
John Terry alifunga bao la mapema dakika ya 2 na kuifanya Chelsea kuongeza mabao zaidi kwa timu inayofundishwa na kocha wa zamani wa Chelsea Roberto Di Matheo.
Willian alipachika bao la pili dakika ya 29 na bao la Tatu lilikuwa la kujifunga wao wenyewe Schalke 04 kupitia kwa Jan Kirchhoff dakika ya 44 ya kipindi cha kwanza. Didier Drogba alifunga bao la nne kipindi cha pili dakika ya 76 na Ramires alimaliza bao la mwisho ndani ya dakika chache kwenye dakika ya 78.
Bao!!!Chelsea players celebrate after John Terry scored their first goal

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog