Wednesday, February 19, 2014


Well jel? Gareth Bale (R) looks on as youngster Jese receives praise for another goalscoring performance
Winga anayechipukia wa Real Madrid, Jese Rodriguez ameweza kuziba pengo la Cristiano Ronaldo vyema kipindi hiki ambacho anatumikia adhabu ya kadi nyekundu. Kukosekana kwa Ronaldo kulitafsiriwa na wengi kuwa itakuwa ni nafasi nzuri kwa Gareth Bale kuonekana, lakini Jesse ameweza kumfunika vibaya Bale kiasi ambacho kimemfanya macho ya mashabiki kuhamia kwa Jesse. Kutambua kiwango cha Jesse, kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti pia ameanza kumpa kipaumbele mchezaji huyu kwa kumpa namba kwenye kila mchezo. Jesse anaonekana kuwa ni mchezaji atakayeweza kusaidiana na Ronaldo kuibeba timu na hakika nafasi yake kwenye kikosi cha timu ya taifa la Hispania itaonekana kwa kuanza kucheza kwenye kikosi cha kwanza, kwani hadi sasa bado haiwahi kucheza kwenye timu ya kwanza ya taifa. 
Kikosi cha Arsenal kilichoanza
Kikosi cha Bayern Munich kilichoanza

Ozil, the £42.5million signing expected to fire Arsenal to glory, is one of the few Germans who can't take a penalty and misses THIRD spot-kick in a row during Bayern clash
Arjen Robben
Minong'ono imeanza kuwa Robben alimtemea mate Sagna kama inavyoonekana kwenye kiduara cha njano kwenye picha. Lakini baadhi ya watu wamesema ni jasho lililokuwa linadondoka kutoka kwenye kidevu cha Robben. 
Danger: Bayern winger Arjen Robben (centre) controls a pass played over the top of Arsenal's defence
Got to go: Szczesny was sent off by referee Nicola Rizzoli for denying Robben a clear goalscoring chance
Tough introduction: Santi Cazorla (right) makes way for substitute goalkeeper Lukasz Fabianski
Wunderbar: Kroos (second right) watches on as his superb curling shot flies into the back of the net
That's why they're champions: Toni Kroos (centre) celebrates after his strike gave Bayern Munich the lead
Mountain to climb: Jack Wilshere (right) watches on as Kroos and Arjen Robben (second left) celebrate
Game over? Thomas Muller screams with delight after his late header doubled Bayern's lead 
 
 
 



Arsenal na Bayern zote zilikosa mikwaju ya penati ya ungwe ya dakika za kipindi cha kwanza lakini bao mbili za kipindi cha pili kutoka kwa Kroos na Mueller zimewapa ushindi Bayen wa bao 2-0 dhidi ya wenyeji Gunners, ambapo kipa wao Szczesny ameondoshwa kwa kadi nyekundu leo kwenye Mtanange wa UEFA Champions Ligi hatua ya 16 ya mtoano.Dakika ya nane Mchezaji wa Bayern Munich Jerome Boateng alimwangusha Ozil ndani ya eneo hatari na Mwamuzi kumpa kadi ya njano Boateng na mkwaju wa penati kupigwa...Mesut Ozil
Mkwaju huo umedakwa kwa kupanguliwa nje na kipa wa Bayern Munich Manuel Neuer uliopigwa na Mesut Ozil katika dakika ya 8. Dakika ya 37 kipindi cha kwanza kipa wa Arsenal Wojciech Szczesny anatolewa nje kwa kupewa kadi nyekundu baada ya kumfanyia ndivyo sivyo Robben ndani ya eneo hatari, Mkwaju wa penati unatengwa. David Alaba anakosa penati mpira unagonga posti na kutoka nje!! Arsenal wanafanya mabadiliko Santi Cazorla anatoka na nafasi yake inachukuliwa na kipa Lukasz Fabianski katika dakika ya 39 kipindi cha kwanza na dakika ya 31 pia Arsenal walifanya mabadiliko ya Kieran Gibbs baada ya kuumia na nafasi yake kuchukuliwa na Monreal. Kosa kosa hizo za penati katika timu zote mbili zimesababisha timu zote kwenda mapumziko 0-0.Kocha wa Bayern Munich Pep GuardiolaOzil baada ya kuangushwa na Jerome Boateng ndani ya 18
Mkwaju wa Ozil ukidakwa na kipa wa Bayern Munich Manuel Neuer mapema kipindi cha kwanza!
Yaya Sanogo kwenye patashika, katika mtanange huu alianza kipindi cha kwanzaWojciech Szczesny akiokoa moja ya shuti kali langoni mwake
Kipindi cha pili dakika ya 46 Bayern Munich wanafanya mabadiliko ya Jerome Boateng na nafasi yake
kuchukuliwa na Rafinha. Dakika ya 54 kipindi cha pili Toni Kroos akaifungia bao timu yake Bayern Munich baada ya kupewa pasi  na Philipp Lahm.

Baadae kidogo Yaya Sanogo akapewa kadi ya njano baada ya kumchezea ndivyo sivyo kipa wa Bayern Munich Never. Dakika za
lala salama dakika ya 88 mchezaji wa Bayern Munich Thomas 
Müller aliyetokea benchi  akaifungia bao timu yake, Bao la kichwa baada ya kupewa pasi safi na Philipp Lahm.David Alaba nae alikosa penati hivi hivi...!
Kipa Szczesny akiruka na Arjen Robben...Robben akijiuguza kama vile katolewa ulimi!!.....uko sawa?? nyanyuka sasa!!
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Flamini, Wilshere, Oxlade Chamberlain, Ozil, Cazorla, Sanogo. Subs: Fabianski, Rosicky, Podolski, Giroud, Monreal, Jenkinson, Gnabry.
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Thiago, Javi Martinez, Robben, Kroos, Gotze, Mandzukic. Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Pizarro, Muller, Contento, Schweinsteiger.
Mwamuzi:Nicola Rizzoli (Italy)
 
 
 
 
 


Shake on it: Januzaj greets fans as United step off the plane from their Dubai training camp Young gun: Adnan Januzaj arrives back in Manchester after United's warm-weather training in Dubai
Back on English soil: Van Persie arrives back in Manchester from the club's warm-weather Dubai training camp Welcome back: Rooney arrives back into Manchester after the club's warm-weather training camp in Dubai


Helping hand: England manager Roy Hodgson receives a hand leaving the boat after riding up the Amazon river
Kocha wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson wiki hii ametembelea sehemu tofauti nchini Brazil ambazo zitatumika na timu ya England kufanya mazoezi, kucheza na kulala. Baadhi ya maeneo ambayo Roy ametembelea ni pamoja na uwanja wa Arena Amazonia ambao England watafungua dimba dhidi ya Italy na pia alitembelea miji ya Manaus, Rio de Janeiro, Sao Paulo na Belo Horizonte. Katika mahojiano yake na waandishi wa habari baada ya kuzungukia maeneo haya Roy alisema ' Brazil kuna joto sana, kama ilivyokuwa South Afrika na America mwaka 94, lakini tulishacheza na Brazil Rio de Janeiro naamini tutaweza kushindana kwenye hali hii'. Timu ya England ipo kundi D pamoja na timu za Italy, Uruguay na Costa Rica. 
Taking it all in: Hodgson takes in the view during his boat ride during his trip to the Brazilian city of ManausTour: The trip is the first time England manager Hodgson has visited the Brazilian jungle city Tour: The trip is the first time England manager Hodgson has visited the Brazilian jungle city
Ahoy Roy! Hodgson and an England delegation enjoyed a tour of the city where England will kick off their World Cup against Italy this summerHot hot hot! Hodgson, pictured outside the city's opera house, admits England will have to come to terms with the high temperaturesThumbs up: Hodgson was accompanied by England's secretary of State for Foreign and Commonwealth Affairs, William Hague (right) Thumbs up: Hodgson was accompanied by England's secretary of State for Foreign and Commonwealth Affairs, William Hague (right)
The big kick-off: England will begin their World Cup campaign against Italy at the Arena Amazonia
Huu ni uwanja wa Arena Amazonia ambao England watafungua dimba dhidi ya Italy

waliotembelea blog