Wednesday, February 18, 2015


Marcelo akipongezwa na Kocha wake Carlo Ancelotti  baada ya kufunga bao la piliCristiano Ronaldo 26 alifunga bao la kwanza dakika ya 26 kipindi cha kwanza na Marcelo alifunga la pili dakika ya 79 kipindi cha pili na kufanya 2-0 dhidi ya Wenyeji Schalke 04. Na Mtanange kumalizika kwa bao hizo 2-0.
Schalke kichuchupu nao wapate bao la kufutia machozi hapa lakini mpira uligonga mwamba hjuu na kutoka nje.

Meneja Carlo Ancelotti akishangilia pamoja na wachezaji wake baada ya kupata bao la pili.

1-0, Wachezaji wa Real Madrid wakipongezana kwa bao la Cristiano Ronaldo(kulia).Ronaldo akitupia kambani..na kufnya 1-0 katika kipindi cha kwanza dakika ya 26.Mtanange ukiendelea...Kipindi cha kwanza.Lucas Silva, Pepe kuanza..
VIKOSI:
Schalke 04: Wellenreuther, Uchida, Howedes, Matip, Nastasic, Aogo, Hoger, Neustadter, Boateng, Choupo-Moting, Huntelaar.
Akiba: Wetklo, Kirchhoff, Meyer, Fuchs, Ayhan, Barnetta, Platte.

Real Madrid: Casillas, Carvajal, Varane, Pepe, Marcelo, Lucas Silva, Kroos, Isco, Bale, Benzema, Ronaldo.
Akiba: Navas, Hernandez, Arbeloa, Nacho, Jese, Illarramendi, Medran.
Refa: Martin Atkinson (England)
Kocha wa Schalke 04 Roberto di Matteo

waliotembelea blog