Friday, May 9, 2014



Screen Shot 2014-05-09 at 6.19.50 PM 
Ni abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.


Lionel-Messi-v-Athletic-Bilbao_3128305LIONEL Messi amechukizwa na tabia ya vyombo vya habari kuzungumzia hatima yake katika klabu ya Barcelona na kusisitiza kuwa hawatachia taji la La Liga msimu huu.
Tetesi zilizoenea katika vyombo vya habari nchini Hispania zinasema kuwa nyota huyo raia wa Argentina anaweza kuondoka Camp Nou.
Messi aliyeshinda mataji sita ya La Liga na matatu ya UEFA amesisitiza kuwa ana furaha kubwa Barcelona na hataondoka majira ya kiangazi.
Hata hivyo kuna taarifa kuwa siku chache zijazo Messi atasaini mkataba mpya utakaomuweka kwa wakatulanya hao mpaka mwaka 2019.
Nyota huyo mwenye miaka 26 amejiweka mbali na tetesi hizo na kusisitiza kuwa kwasasa anafikiria namna ya kuisaidia Barcelona kushinda mechi zake mbili zilizosalia msimu huu.
Messi amekaririwa na gazeti la Marca, akisema: “Wamesema mambo mengi kwa mwaka huu”.
“Habari nyingi zimezungumzwa, nyingi ni uongo. Niko sawa”.
“Kwasasa tumekuwa nafasi nzuri zaidi ,” aliongeza Messi. “Tunaona uwezekano wa kubeba taji upo, lakini itategemeana tutafanya nini”.
“Tutaitumia nafasi hii na hatutaiacha iende”.
Barcelona wamebakiza mechi dhidi ya Elche na vinara Atletico Madrid.



Staa wa Number One aliyejinyakulia tuzo saba (7) katika Kilimanjaro Tanzania Music Awards wikiendi iliyopita, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anawania tuzo za MTV katika vipengele viwili Best Collaboration akimshirikisa msanii Davido kutoka Nigeria katika wimbo wa Number One Remix na Best Male.


Goalkeepers: Julio Cesar (Toronto FC, on loan from QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro)

Defenders: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG).

Midfield: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan).

Attackers: Bernard (Shakhtar Donetsk), Neymar (Barcelona), Fred (Fluminense), Hulk (Zenit St Petersburg), Jo (Atletico Mineiro).

Advantage: Brazil are favourites to win the World Cup on home soil this summer
The big one: The World Cup begins in Brazil on June 12, finishing on July 13 with the final

waliotembelea blog