Staa wa Number One aliyejinyakulia tuzo saba (7) katika Kilimanjaro Tanzania Music Awards wikiendi iliyopita, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anawania tuzo za MTV katika vipengele viwili Best Collaboration akimshirikisa msanii Davido kutoka Nigeria katika wimbo wa Number One Remix na Best Male. |
0 maoni:
Post a Comment