Sunday, December 22, 2013





Ni Royal Fountain Hoteli

Bw. Frank Muganyizi (kushoto) ambaye ndie mmiliki wa hoteli hiyo akifurahia jambo siku ya ufunguzi wa Hoteli hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Dini.

 



 
 

 
 



 



 
 
 



Mzee Frank Muganyizi






 
 
 
 
  
 
 
 
 
 
 



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwahutubia Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki


 


Kamanda wa Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Tanzania,DCP. Mohammed R. Mpinga akizungumza akitoa hotuba yake mbele ya Vijana waliojiajiri kwa kazi ya kuendesha pikipiki
 


 


 

 
 
 




Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini akiendesha sala maalumu kabla ya uzinduzi kuanza kwenye ukumbi wa Lina's Club Bukoba 
 
 
.

 

 
 

Wasanii wa Kapotive Star Singers wakiimba  

Baadhi ya waimbaji wa Kukundi cha Kapotive Star Singers wakisoma Risala mbele ya Mgeni rasmi
 

Waimbaji wa kikundi cha Kapotive 

 
 

 
Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco 



Kwaya ya M.T John Bosco
 


 
 

Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco Vijana wakiwaangalia wenzao kwa Furaha
Waimbaji wa Kikundi cha Kapotive Star Singers Bukoba

Kapotive Star Singers Bukoba


 
Kapotive Star Singers Bukoba
 
 



 
 


 

 


Waimbaji wa Kwaya ya M.T John Bosco
 
 









Mwimbaji kutoka Jijini Dar es Salaam Upendo Nkone 

 
 Kapotive wamekuja kitofauti zaidi..




 
 
.Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini (katikati) 




Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani mikono juu..hakimu Mungu ni mkubwa Vijana wanajua kuimba!!
 
 

Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani 
 akiwakubali zaidi Kapotive








Dk. Anatory Amani akinyoosha CD  juu 
 
 
 



Meya wa Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, Dk. Anatory Amani na Askofu Msaidizi wa Jimbo Cathoric la Bukoba Methodius Kilaini


waliotembelea blog