Sunday, January 26, 2014


 

 Mwenyekiti wa chama cha Chadema Freeman Mbowe akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Platfom









 Mwenyekiti wa Chadema Taifa akiomba kabla ya mkutano kufunguliwa
 Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera Wilfred Rwakatare akifungua mkutano
 Mbunge wa Arusha Mh Lema akiongea na wananchi
 Mh Lema amezungumzia swala la  Zito Kabwe
 Mh Mnyika ameongelea swala la gharama za umeme kupanda
 MH Mbowe pamoja na kuongelea maswala ya kitaifa, likiwemo swala la rasimu ya katiba na serikali tatu kuwa ndio msimamo wa Chadema na kuwaomba wananchi kuwaunga mkono kwa nguvu zote, na hasa wanapokwenda kwenye bunge hili,Pia amezungumzia swala la ubadhilifu uliotokea kwenye Manispaa ya Bukoba  wa zaidi ya bilioni mbili, Mh Mbowe amesema na kawataka wananchi wa Bukoba  na maeneo mengine kukubali ukweli na kupongeza viongozi wanaosimamia haki za wananchi hata kama si wa vyama vyao,(JAMANI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI  Nawapongeza sana madiwani wa ccm, chadema na cuf kwa kuwa kitu kimoja kusimama imara na hatimae CAG  kutoa taarifa ya UFISADI WA ZAIDI YA BILIONI MBILI na kupelekea  Anatory Aman kujiuzuru, ongereni sana.) Pia amewataka viongozi wa dini wasitumiwe  vibaya na baadhi ya watu kuongelea sawala udini eti kwa sababu tu kiongozi furani amepatikana na na ufisadi au wizi lakini kwa kuwa ni dini tofauti  anaonekana ni mwema wakati amehusika kuhujumu  mali za wananchi na wizi.Amewaomba viongozi wa dini kukemea swala hilo na amesema kwa hapa Bukoba wapo watu sasa wameanza kugawa watu kwa udini ni hatari sana kwa kufanya hivyo.
 Umati wa wananchi wakimsikiliza Mbowe
 Dah jamaa ni balaaa



MASHABIKI  NA KUFUNGA BAO LILILOIWEZESHA REAL KUKAA KILELENI 

 

Centre of attention: All eyes and cameras are on Ronaldo as he shows off his personal award


 Bao la Ronaldo, la 22 kwenye La Liga na ambalo linamfanya aongoze katika ufungaji Mabao, lilifungwa katika Dakika ya 56.
Karim Benzema alipiga Bao la Pili katika Dakika ya 74 baada kazi njema ya Ronaldo na Marcelo.
Kesho Jumapili Mabingwa Watetezi na Vinara wa La Liga, Barcelona, watakuwa kwao Nou Camp kucheza na Malaga.
Barca wataingia kwenye Mechi hii huku Klabu yao ikikumbwa na mgogoro mkubwa baada Juzi Rais wao, Sandro Rosell, kujiuzulu kutokana na Skandali ya Uhamisho wa Neymar.
Hiyo hiyo Jumapili, Atletico Madrid, ambao wako Nafasi ya Pili Pointi sawa na Barca, watakuwa Ugenini kucheza na Rayo Vallecano.

 
 Ronaldo akishangilia bao lake
All that glitters: Ronaldo stands in between teammates including world record signing Gareth Bale (2R) with his trophy

Bao za Cristiano Ronaldo na Karim Benzema leo wameipa ushindi Real  wa Bao 2-0 walipocheza na Granada Uwanjani Santiago Bernabeu na kutwaa uongozi wa La Liga wakiwa Pointi 2 mbele ya Barcelona na Atletico Madrid zennye Mechi 1 mkononi.
 There's no I in team: Ronaldo poses for a team photo with Real Madrid teammates and field delegate Agustin Herrerin (C)

 





 




MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU ZA JUU.
2013/2014 SPANISH PRIMERA DIVISIÓN TABLE
 OVERALL
HOME
AWAY
 
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1Real Madrid2117226021
901328
8212813
3953
2Barcelona2016315413
900316
731237
4151
3Atletico Madrid2016314812
920347
711145
3651
4Athletic Bilbao2012353626
9202711
315915
1039
5Villarreal2111463922
6322312
5141610
1737
6Real Sociedad209653830
621237
3441523
833

waliotembelea blog