Sunday, January 26, 2014


 

 Mwenyekiti wa chama cha Chadema Freeman Mbowe akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru Platfom









 Mwenyekiti wa Chadema Taifa akiomba kabla ya mkutano kufunguliwa
 Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kagera Wilfred Rwakatare akifungua mkutano
 Mbunge wa Arusha Mh Lema akiongea na wananchi
 Mh Lema amezungumzia swala la  Zito Kabwe
 Mh Mnyika ameongelea swala la gharama za umeme kupanda
 MH Mbowe pamoja na kuongelea maswala ya kitaifa, likiwemo swala la rasimu ya katiba na serikali tatu kuwa ndio msimamo wa Chadema na kuwaomba wananchi kuwaunga mkono kwa nguvu zote, na hasa wanapokwenda kwenye bunge hili,Pia amezungumzia swala la ubadhilifu uliotokea kwenye Manispaa ya Bukoba  wa zaidi ya bilioni mbili, Mh Mbowe amesema na kawataka wananchi wa Bukoba  na maeneo mengine kukubali ukweli na kupongeza viongozi wanaosimamia haki za wananchi hata kama si wa vyama vyao,(JAMANI MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI  Nawapongeza sana madiwani wa ccm, chadema na cuf kwa kuwa kitu kimoja kusimama imara na hatimae CAG  kutoa taarifa ya UFISADI WA ZAIDI YA BILIONI MBILI na kupelekea  Anatory Aman kujiuzuru, ongereni sana.) Pia amewataka viongozi wa dini wasitumiwe  vibaya na baadhi ya watu kuongelea sawala udini eti kwa sababu tu kiongozi furani amepatikana na na ufisadi au wizi lakini kwa kuwa ni dini tofauti  anaonekana ni mwema wakati amehusika kuhujumu  mali za wananchi na wizi.Amewaomba viongozi wa dini kukemea swala hilo na amesema kwa hapa Bukoba wapo watu sasa wameanza kugawa watu kwa udini ni hatari sana kwa kufanya hivyo.
 Umati wa wananchi wakimsikiliza Mbowe
 Dah jamaa ni balaaa



0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog