1:18 AM
Unknown
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA
Jumamosi Desemba 12
15:45 Norwich v Everton
18:00 Crystal Palace v Southampton
18:00 Man City v Swansea
18:00 Sunderland v Watford
18:00 West Ham v Stoke
20:30 Bournemouth v Man United
Jumapili Desemba 13
16:30 Aston Villa v Arsenal
19:00 Liverpool v West Brom
19:00 Tottenham v Newcastle
Jumatatu Desemba 14
23:00 Leicester v Chelsea
1:15 AM
Unknown
VINARA
wa Ligi Kuu England Leicester City wamezoa Tuzo zote mbili za Ubora za
Ligi hii kwa Mwezi Novemba kufuatia Claudio Ranieri kupewa Tuzo ya
Meneja Bora na Straika Jamie Vardy kuwa ndie Mchezaji Bora.
Katika
Mwezi Novemba, Vardy, mwenye Miaka 28, alifunga Bao katika Mechi zao
zote 3 za Ligi na kuweka Rekodi ya kupiga Bao katika Mechi 11 mfululizo
za Ligi.
Hii ni mara ya pili mfululizo kwa Vardy kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu England baada ya kuitwaa pia kwa Mwezi Oktoba. Nae
Ranieri ameiongoza Leicester kutwaa Pointi 7 kati ya 9 kwa Mwezi
Novemba kwa kuzishinda Watford 2-1, Newcastle 3-0 na kutoka Sare 1-1 na
Man United.
Mechi inayofuata kwa Leicester ni Jumatatu Usiku dhidi ya Mabingwa Watetezi Chelsea.
VARDY'S GOAL SCORING STREAK
Aug 8 - vs Sunderland - 1 goal (4-2 win)
Aug 29 - vs Bournemouth - 1 goal (1-1)
Sep 13 - vs Aston Villa - 1 goal (3-2 win)
Sep 19 - vs Stoke City - 1 goal (2-2)
Sep 26 - vs Arsenal - 2 goals (5-2 defeat)
Oct 3 - vs Norwich City - 1 goal (2-1 win)
Oct 17 - vs Southampton - 2 goals (2-2)
Oct 24 - vs Crystal Palace - 1 goal (1-0 win)
Oct 31 - vs West Brom - 1 goal (3-2 win)
Nov 7 - vs Watford - 1 goal (2-1 win)
Nov 21 - vs Newcastle - 1 goal (3-0 win)
Nov 28 - vs Man United - 1 goal (1-1)
Monthly winners
August: Andre Ayew (Swansea City)
September: Anthony Martial (Man United)
October: Jamie Vardy (Leicester City)
November: Jamie Vardy (Leicester City)
1:13 AM
Unknown
UEFA
chief Michel Platini has lost his second appeal against FIFA's 90-day
ban. Platini's first appeal against financial wrongdoing was rejected by
the FIFA Appeal Committee and the Court of Arbitration for Sport has
upheld it.