Nyota
wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ akilitawala
jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho
la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba
mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea
kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki.
Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia
yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza
rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014
lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni
mwa wiki.
Diamond
na Ney wa Mitego wakioneshana umwamba wa kuwateka mashabiki kila mmoja
kwa staili yake,huku miluzi na Shangwe ikiwa imtawala ndani ya uwanja.
Mmoja
wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa katika anga ya muziki wa bongofleva
Vanessa Mdee a.k.a V Money akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa
jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi kushuhudia
mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba
jijini humo,tamasha hilo limefanyika mwishoni mwa wiki.
.
Mmoja
wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa kupitia wimbo wake mpya wa Ole
Themba akiwa chini ya Kampuni mpya ya No Fake Zone,Linah Sanga
akitumbuiza mbele ya maelfu ya
wakazi wa jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi
kushuhudia mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa
CCM Kirumba lililofanyika mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la
Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.

Wasanii wa kundi la Tanikando Group kutoka Igoma, Mwanza nao
wakionesha umahiri wao kupamba onesho la muziki la Serengeti fiesta 2014
lililofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini
humo na kuhudhuriwa na maelfu ya wapenzi na washabiki wa tamasha hilo.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakishangilia baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la
Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu
ya Wasanii wa bongofleva waliofanya vyema katika tamasha la Fiesta 2014
kupitia shindano la Serengeti fiesta 2014 Supa Nyota.
Msanii
wa bongofleva anaekuja kwa kasi katika mchakato wa kuchanganya nyimbo
za asili na za kizazi kipya kutoka Bukoba,BK Sande akiimba wimbo wake
mpya uitwa OMWANA mbele ya Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika
tamasha la Serengeti Fiesta 2014 lililozinduliwa jijini Mwanza mwishoni
mwa wiki.
Hivi
ndivyo wakazi wa jiji Mwanza walivyojitokeza kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.
Msanii wa Bongofleva kutoka Mo Music akiimba jukwaani
Utulivu
ulikuwepo wa kutosha ndani ya tamasha la Fiesta 2014 huku umati mkubwa
ukishuhudia uzinduzi wa tamasha hilo jijini Mwanza katika viwanja vya
CCM Kirumba,mwishoni mwa wiki.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young De, akifanya vitu vyake ndani
ya Uwanja wa CCM Kirumba wakati wa tamasha la Serengeti fiesta
2014, lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.
Umakini na mitambo ya kutosha kuwapa burudani isiyo nakikomo kwa wakazi wa jiji la Mwanza.
Wakata Mikaa Chege na Themba wakishambulia jukwaa la fiesta
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakishangilia baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la
Serengeri fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki,tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama.
Pichani
kushoto ni Msanii kutoka ndani ya jiji la Mwanza.Young killer akiwa na
msanii mwanzake amkimpa tafu kulishambulia jukwaa vilivyo
Wadau wakuu wa tamasha hilo wakifurahia jambo
Msanii wa bongo fleva, Mr Blue akikonga nyoyo za umati wa wakazi wa
Jiji la Mwanza waliojitokeza katika Uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha
la Serengeti fiesta mwishoni mwa wiki ndani ya uwanaja wa ccm kirumba.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya tamasha la
Serengeri fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki,tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama.
Vijana wa Mkubwa Fella,Yamoto Band wakilishambulia jukwaa.
Mkamua ngoma wa Diamond,Romyjons akifanya vitu vyake wakati Diamond akitumbuiza jukwaani.PICHA NA MICHUZI JR-MWANZA