3-0!!Wachezaji wa Real wakimpongeza mwenzao Karim Benzema baada ya kufunga bao la tatu kipindi cha kwanza cha dakika 45.Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake la kwanza...
Bao la tatu lilifungwa na Karim Benzema tena baada ya kupigwa kona na Pepe kujitwisha kichwa kwenye eneo hatari ndani ya box na hatimae Karim Benzema kuupata na kuusindikiza langoni mwa Liverpool na kumfunga kipa Mignolet na kufanya 3-0 katika dakika ya 41.Karim Benzema akiruka juu na kufunga bao la pili.Cristiano Ronaldo akikatiza mbele..Cristiano Ronaldo aliipachikia bao la kwanza kipindi cha kkwanza dakika ya 23 baada ya kutengeneza pasi na kurudishiwa na James RodrÃguez na kufunga bao hilo na kufanya 1-0 dhidi ya Wenyeji Liverpool. Bao la pili lilifungwa na Karim Benzema dakika ya 30 kwa kichwa baada ya kupokea Krosi safi kutoka kwa Toni Kroos.