Bayern Munich wakipongezana..Kipindi cha kwanza Bayern Munich wanaongoza bao 5-0 dhidi ya As Roma
Robben aanza kutema cheche!! Afungua pazia kwa kufunga bao na kuitanguliza Bayern mbele ya bao 1-0. Arjen Robben ndie aliyeanza kufunga bao la mapema dakika ya 8.
Mario Götze akaongeza bao la pili dakika ya 23, Huku Robert Lewandowski akichapa bao la tatu dakika chache kupita kwenye dakika ya 25, Arjen Robben aliongeza bao tena kwenye dakika ya 30 na Thomas Müller kushona bao la tano dakika ya 36 kwa
mkwaju wa penati. Bao la As Roma limefungwa na Gervinho dakika ya 66' Bao la sita lilifungwa na F. Ribéry katika dakika ya 78 huku X. Shaqiri akimaliza mchezo dakika 80 kwa kupachika bao la saba na kufanya 7-1 dhidi ya As Roma.

0 maoni:
Post a Comment