Dakika za lala salama dakika ya 89 Gibbs
ndie aliyeisawazishia bao Arsenal na kufanya 1-1 hapo hapo kwenye
dakika za nyongeza Lukas Podolski alifunga bao la Ushindi na kufanya
2-1 dhidi ya RSC Anderlecht .
Dakika ya 71 kipindi cha pili Arsenal walifungwa bao na mchezaji Andy Najar baada ya kupata krosi kama kona kutoka kwa Dennis Praet na kujitwisha kichwa na kumfunga kipa wa Arsenal.Andy Najar akishangilia bao lake la kwanza na la pekee.Alexis sanchez akiwakusanya!!!!Emiliano Martinez wa Arsenal akipasha leo hii kabla ya Mchezo wao wa Klabu bingwa Ulaya (Champions League) Ugenini.
Alex Oxlade-Chamberlain akipasha nae kwenye Uwanja wa Vanden Stock
Aaron Ramsey akipasha tayari kwa kipute dhidi ya Anderlecht

You might also like:
0 maoni:
Post a Comment