Friday, June 12, 2015



Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akikagua mizinga ya nyuki alipotembelea mradi wa nyuki unaoendeshwa na vijana eneo la Kishovu, wilayani Karagwe..
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya National Beekeeping Supplier ltd, Kaizerege Camara akimuonesha Katibu Mkuu Ndugu Kinana kifaa kinachotumika kufugia malkia wa nyuki katika mradi huo

Komredi Kinana akishiriki ujenzi wa banda la mradi wa kufugia nyuki katika mradi huo

Makandarasi wa kampuni ya kichina ya CHICCO, inayojenga barabara ya Kyaka-Bugene wilayani Karagwe, wakisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyekwenda kukagua ujenzi huo eneo la Mugulakorongo, Ndama.


Sehemu ya ujenzi wa barabara ya Kyaka-Bugene inayojengwa wilayani Karagwe,yenye urefu wa Km 59.9 kwa mujibu wa Mkandarasi wa barabara hiyo alieleza kuwa mpaka kukamilika mnamo Desemba mwaka huu itakuwa imetumia kiasi cha shilingi bilioni 65 na ushehe.

waliotembelea blog